Vita na Bishanga!!!

Baba V mi nilishasema sina haja ya kurumbana na haka kajamaa ka kihaya.....nimeamua kuwa mtekelezaji na niliamua kuanza na kumchukua The secretary coz nahisi yuko juu sana kuliko wake zangu wote ispokuwa Amyner

So we endelea kurumbana wakati mi nakula raha na ex-wifw wa [MENTION=11167]Bishanga[/
MENTION] ambaye kwa sasa nimembadili jina na kumuita My Secretary

No comment. Real speechless.
 
Last edited by a moderator:
Hii issue Baba v uko sahihi, mimi niseme
Those skillde in wars brin' the enemy to the field of battle , and are not brought there by him.
Under ground war with that Bepari also are needed , as such as B52 attack him kwa kujibariki The secretary!
But secret operations are essential in war , au kwa bandiko hili mwenyewe mdogomdogo awahi kutafuta ukimbizi fcbk .
 
hizi ni dalili za wivu
pointi zako zote hazina mshiko.

Najua natangaza vita lakini nitajua namna ya kujitetea.

Wapendwa wana Chit-Chat wote, bila kujali mitazamo na mapenzi ya watu, nimeamua kutangaza VITA rasmi na kiumbe mmoja anaejiita Bishanga kwa sababu maalumu na naomba wapenzi wake mnielewe na marafiki zake mtambue,nilisha mPM notes ya mwezi mmoja kuhusu kusudio langu,hivyo hatua niliofikia anaitambua fika bila mashaka yoyote,.
Sababu za kufikia uamuzi huu ni kama ifuatavyo,
1.Ana majigambo na kujiona yeye ni bora kuliko member mwingine yeyote na nyie ni mashahidi,

2.Ana wivu na hataki kuona wenzie wakifanikiwa, matokeo yake amekuwa anapiga majungu kuhusu Erickb52 Baba V, Kaizer Judgement ruttashobolwa,@Aspirin, dogo Ronn M na Mtalingolo, ili wakosane na wapenzi wao,
3. Kajitangaza yeye ndo tajiri namba moja ilhali si kweli, kisa awarubuni our loves, kesho naleta ushahidi zaidi, Bishanga, this is war!!!HUYU lazima anyooke,afu hakuna ushahidi ambao mtu hataweza kuukana kama ushahidi wa picha!
 
hivi wewe ndo yupi hapa

images

wenye wivu wajinyonge,
wenye wivu wajinyonge,
chambua kama karanga,
chambua kama karanga,
baba vii ajinyonge,
baba vii ajinyonge.
bishanga ni fungu la kupata,
kwi kwi kwi kwi...
source: saida kalori
 
hizi ni dalili za wivu
pointi zako zote hazina mshiko.

Najua natangaza vita lakini nitajua namna ya kujitetea.

Mamdenyi remember a friend of my enemy is my enemy too, in this fight between i and Bishanga please do not come in between lest you receive blows not meant for you!
 
Last edited by a moderator:
Asalimike wapi mkuu ?
Kwanza mkwanja kaishiwa, pili sina hakika kama kabaki na mke hata mmoja!
Mtangulizie pole zangu !

mkuu Judgement haponi huyu dogo,kwanza hela zenyewe kumbe alikopa FINCA akaenda kutanua na Theo Pistol wenye hela zao wamekuja kudai, wanapiga mnada nyumba yake ye kajificha Kibamba kwa shugamami mmoja hivi, nyimbo hana tena,akichokwa tu huko mtamuona hapa! Hela ya mkopo we unatanulia?? unalo dogo Bishanga
 
Last edited by a moderator:
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom