Vita na Bishanga!!!

Baba V

JF-Expert Member
Dec 29, 2010
19,482
9,517
Wapendwa wana Chit-Chat wote, bila kujali mitazamo na mapenzi ya watu, nimeamua kutangaza VITA rasmi na kiumbe mmoja anaejiita Bishanga kwa sababu maalumu na naomba wapenzi wake mnielewe na marafiki zake mtambue,nilisha mPM notes ya mwezi mmoja kuhusu kusudio langu,hivyo hatua niliofikia anaitambua fika bila mashaka yoyote,.
Sababu za kufikia uamuzi huu ni kama ifuatavyo,
1.Ana majigambo na kujiona yeye ni bora kuliko member mwingine yeyote na nyie ni mashahidi,

2.Ana wivu na hataki kuona wenzie wakifanikiwa, matokeo yake amekuwa anapiga majungu kuhusu Erickb52 Baba V, Kaizer Judgement ruttashobolwa,@Aspirin, dogo Ronn M na Mtalingolo, ili wakosane na wapenzi wao,
3. Kajitangaza yeye ndo tajiri namba moja ilhali si kweli, kisa awarubuni our loves, kesho naleta ushahidi zaidi, Bishanga, this is war!!!HUYU lazima anyooke,afu hakuna ushahidi ambao mtu hataweza kuukana kama ushahidi wa picha!
 
Last edited by a moderator:
Baba V mi nilishasema sina haja ya kurumbana na haka kajamaa ka kihaya.....nimeamua kuwa mtekelezaji na niliamua kuanza na kumchukua The secretary coz nahisi yuko juu sana kuliko wake zangu wote ispokuwa Amyner
So we endelea kurumbana wakati mi nakula raha na ex-wifw wa Bishanga ambaye kwa sasa nimembadili jina na kumuita My Secretary
 
Last edited by a moderator:
He mnashindana na Bepari la Kihaya sijui mmmhhh maana majigambo yao ni mwisho kha!!! wanamaringo, majivuno, majigambo (hata kama hawana kitu chochote)..............
 
wenye wivu wajinyonge,
wenye wivu wajinyonge,
chambua kama karanga,
chambua kama karanga,
baba vii ajinyonge,
baba vii ajinyonge.
bishanga ni fungu la kupata,
kwi kwi kwi kwi...
source: saida kalori
 
chezea muhaya we, alizaliwa kwenye madini akalelewa ndani ya BOT njoo tukagawie vijisenti kidogo upoze koho
ndo mana nakukubali sana nitts,uko juu kama li dreamliner,no wonder Vin Diesel alipoingilia anga zako kwa sweetlady nilipigana kishujaa hadi hiyo ngivi ikamwaga manyanga. Naamini kwa sasa your love life na SL ni murwa kabisa,msisahau kunitumia kadi ya mwaliko,nasikia resepsheni yetu itakuwa grumeti huko serengeti,dah kwa raha zenu.
 
Last edited by a moderator:
ndo mana nakukubali sana nitts,uko juu kama li dreamliner,no wonder Vin Diesel alipoingilia anga zako kwa sweetlady nilipigana kishujaa hadi hiyo ngivi ikamwaga manyanga. Naamini kwa sasa your love life na SL ni murwa kabisa,msisahau kunitumia kadi ya mwaliko,nasikia resepsheni yetu itakuwa grumeti huko serengeti,dah kwa raha zenu.


Endeleeni kujipa moyo vijana....kwanza mnanitingisha maana sie tupo kwenye fungate hapa...ni kujilia maraha tu mpaka mwisho sweetlady ni wangu peke yangu...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom