Vita Kati Ya Urusi Na Georgia....!

Niko surprised kuwa everybody is talking about Russia and Georgia but not the Ossetian Rebels who caused this problem in the first place.

Hii yote ni mambo ya Chessboard movements, US anataka kuwa na kambi maeneo yote ya karibu just in case akitaka kushambulia lets say China, Russia or North Korea. Angalia tangu kucollapse kwa USSR presence ya majeshi ya Marekani Europe imekuwa kwa haraka sana...Warusi wakiangalia around all they see is a string of US-NATO bases from Poland to Bulgaria to Kosovo lazima wawe irritated.

Alafu tunasahau misaada ya kisiri siri ya Wamarekani ya kuinfluence mabadiliko kwenye nchi nyingi za Ulaya mashariki, chini ya mtu mmoja anaitwa Richard Miles angalia alichofanya Belgrade in 2000 guess what alipelekwa wapi baada ya hapo? Georgia kwenda kumtoa Shevardnadze na kuhakikisha Pro-NATO Mikhail Saakashvili anachukua nch.

Let every nation know, whether it wishes us well or ill, that we shall pay any price, bear any burden, meet any hardship, support any friend, oppose any foe, in order to assure the survival and the success of liberty.
--John F. Kennedy
January 20, 1961
 
Russia hawana mpango wa kuishia South Ossetia...Wao hadi sasa wako Georgia na wame struck deep in Georgia...Na kama nilivyosema mwanzo...Mgogoro huu una maslahi mengi kwa mataifa hayo kwani Urusi sasa wame dispatch Jeshi lao la Navy huko Black Sea ambayo iko shared na Iran,Tukey na Russia wenyewe...Kwahiyo ni wazi kila mtu anataka control ya eneo hilo muhimu sana.
 
Georgia wame sign cease-Fire agreement ila hawakubaliani na mapendekezo ya Urusi kuhusiana na namna ya kuutatua mgogoro huo.
 
Breaking News ni kwamba Russia wamekataa kusaini cease fire ya UN iliyosainiwa na Rais wa Georgi pamoja na Ufaransa...Warusi bado wanaendelea kuwasha moto na wanadai Saakashvile ni Saddam wao...Mambo si mazuri kwa kweli...Bush sijui atafanya nini kwani kesho ni NATO wanakutana na inaelekea Russia wanataka kuirudisha Soviet Union kwani Putin alishaweka wazi kuwa hiyo ndiyo nia yake kubwa.
 
znr8dh.jpg

a cartoon from a Romanian opinion...

"In no case will (Bush) jump to defend the territorial integrity of Georgia with weapon in hand,
even though there are still 100 American soldiers there training Georgian troops.

The Moscow Bear cannot be challenged through the bars of its own cage: Georgia is within
Russia's sphere of influence, which is why Tbilisi has no reason to hope for NATO entry anytime soon."
 
Mrusi maedai kusitisha mapigano lakini saakashvili anadai bado mabomu yanaendelea kupigwa..Sasa Sakorzy ndiye nayetegemewa kushawishi warusi wasaini huo mkataba ambao Georigia wameshasaini.
Wale waliokuwa wakitaka kwenda Zimbabwe sasa wajifunze...Nani amewasaidia Georgia?
Nani atamsaidia Saakashvili kama Mrusi nia yake ni ya kumwondoa madarakani?
 
Hawa bado wanategeana kwasababu ukweli ni kwamba Caspian ni muhimu sana kwa wote.
Na mambo hayawezi kwisha moja kwa moja kwasababu Georgia ikikubali kuaachia majimbo iliyoyapoteza...Basi ni sawa na kukaribisha kupinduliwa muda si mrefu.
 
Let every nation know, whether it wishes us well or ill, that we shall pay any price, bear any burden, meet any hardship, support any friend, oppose any foe, in order to assure the survival and the success of liberty.
--John F. Kennedy
January 20, 1961

...kama kawaida ya mmarekani na kujifanya kwake Ukiranja wa International Police;

"This is not 1968 and the invasion of Czechoslovakia where Russia can threaten its neighbors, occupy a capital, overthrow a government, and get away with it," -Dr Condo Rice


...hivi?, si hawa hawa USA walio bypass UN resolution na kuivamia Iraq? si hawa hawa USA walio-overthrow Saddam's Government, bado wana occupy 75% ya Baghdad na Iraq, and they STILL get away with it?

Imagine Russia nayo ingesema maneno haya haya kumtetea Saddam enzi hizo, na kupeleka misaada ya kibinaadamu na kijeshi, kama wao USA wanavyopeleka huko Georgia leo hii.

ama kweli, 'YOU ARE EITHER WITH US, OR AGAINST US' (UNITED STATES)!
 
Mrusi naye alivyokuwa kichaa jana eti alimwambia mmarekani... "CHOOSE SIDES"
Hii ni wazi kuwa Mrusi amepania kumwondoa Saakashvili na nionavyo kama wasiposimamishwa basi wanaingia Tiblisi..Mark ma words.
Condi Rice anaelekea huko...Baada ya stop over Ufaransa.
 
Mrusi naye alivyokuwa kichaa jana eti alimwambia mmarekani... "CHOOSE SIDES"
Hii ni wazi kuwa Mrusi amepania kumwondoa Saakashvili na nionavyo kama wasiposimamishwa basi wanaingia Tiblisi..Mark ma words.
Condi Rice anaelekea huko...Baada ya stop over Ufaransa.

I doubt that, in terms of PROPAGANDA Georgia ameshinda na amepata support ya International Community na ya wananchi wake.
 
The Return of The Big Red Dog.

Hapo USA hawana cha kufanaya zaidi ya Diplomasia.
Hata CNN wamemdescribe Bush kama mbwa anaye bweka sana bila kuwa na uwezo wa kuuma.
Kama wana nyodo hata kidogo watangaze Ultimatum kwa Urusi tuone nin watafanya muda ukiisha.

Huu ni mgogoro kabambe, kwa sababu ni mgogoro unao husu nani awe msemaji na mlaji wa faida ya mafuta ya eneo zima. Pia, mgogoro huu unahusu Urusi kuitaka Marekani iitambue rasmi kama mbabe. "Avumae Baharini ni papa,nyangumi je?".

Marekani wana pua na masikio yao kibao huko Jojia, hadi sasa bado wanafanya kila wanalo weza kupenyeza misaada ya kijeshi huko Jojia.

Macho na masikio yetu yako kwa Fahari apiganaye na ndama asaidiwaye na fahari aliyeko nje ya Zizi,Kikubwa ni kwamba ndama anaminywa mbavu huku Nyasi zikiumia na hizo ndizo za kuonewa huruma.
 
Unajua hapa Russia inasend message to the world kuwa wao si wachovu kama Mmarekani na western media wanavyotangaza propaganda zao kuhusu zana za kivita za Mrusi.Tena hapa wanatoa onyo kwa vijinchi ambavyo vikishakuwa rafiki wa Mmarekani basi navyo vinajifanya wababe na kuamua maamuzi bila kufikiri.
Halafu hawa jamaa huwa hawana tabia ya maneno maneno mengi ,wao ni vitendo tu ndiyo vinabeba ujumbe.

Kama kweli Marekani anaouwezo kama anavyojipigia debe kwenye media mbalimbali ajaribu basi kumshambulia Russia tuone!

Wembe.
 
Next thing Ukraine anaingia kwenye NATO....

Russia wameamua kuwithdraw baada ya Condi kusema wataface Isolation what does that tell us?

Itamshangaza mtu yoyote if all of the so called separatist troops were nothing but Russian regular ground troops in the uniform of the separatists forces.?
 
Poland wamekubali kuweka missile battery ya wamarekani na Mrusi kachukia kweli kweli na yeye anaendeleza kujisogeza sogeza Tiblisi.
Haya mambo yanasogea sogea taratibu taratibu tu...Baada ya hapo sasa utaanza kusikia chokochoko za huko Iran,Lebanon,Syria na Israel ambaye na yeye ametowa ndege mpya za ajabu ajabu kwasababu ya kujilinda.
Hapo "Black Sea" ni black kweli kweli....Maana KILA KITU "BLACK" KINAGOMBEWA TUUU!
Kuanzia Binadamu hadi ARDHI NA SASA "SEA"!
 
Bush Kachimba Mkwara sana leo..Inaonekana amechukia moja kwa moja...Mambo si mazuri kabisa...Kila nchi zinaanza kugawanyika sasa...Poland,Turkey vs Iran... Israel naye yuko karibu hapo vs lebanon,syria... na Russia,china,Abhkazistan,South Ossetia hao kimwelekeo ni kitu moja...Ni noma...Inasemekana Bush ataongezewa Muda wa Madaraka ili kushughulikia hili swala.
 
Bush Kachimba Mkwara sana leo..Inaonekana amechukia moja kwa moja...Mambo si mazuri kabisa...Kila nchi zinaanza kugawanyika sasa...Poland,Turkey vs Iran... Israel naye yuko karibu hapo vs lebanon,syria... na Russia,china,Abhkazistan,South Ossetia hao kimwelekeo ni kitu moja...Ni noma...Inasemekana Bush ataongezewa Muda wa Madaraka ili kushughulikia hili swala.

Ili nini aanzishe Vita?

Hapo Marekani hawana cha kufanya zaidi ya kubweka na kukunja ndita.

Urusi siyo Iraq.

hata urusi ingekuwa nchi ndogo kama Iraq Marekani haina uwezo wa kuanzisha Front line nyingine, wao pia wamekiri kwamba hakuta kuwa na utumiaji wa nguvu za kijeshi kusuruhisha mgogoro huo.

Hii ni ngoma nzito blaza!
 
Kuna kitu tunakimiss hapa, If I were Iran ningekuwa na adabu sasa hivi...sitoshangaa kama US wamewatoa kafara Georgia ili kupata support ya Russia kwenye suala la Iran.
 
Urusi wamesaini cease fire lakini majeshi yake ndio kwaanza yanaendelea kuingia kwenye Georgia ambayo wao wanadai ni ile ya zamani....Kwa Mrusi Georgia "MPYA" Haina South Ossetia wala Abhkazistan...Sasa naona inabidi Mpolish azibe pengo hapo usishangae majeshi ya Poland na Turkey yakiungana kupambana na Kremlin....Hapo...
 
Urusi wamesaini cease fire lakini majeshi yake ndio kwaanza yanaendelea kuingia kwenye Georgia ambayo wao wanadai ni ile ya zamani....Kwa Mrusi Georgia "MPYA" Haina South Ossetia wala Abhkazistan...Sasa naona inabidi Mpolish azibe pengo hapo usishangae majeshi ya Poland na Turkey yakiungana kupambana na Kremlin....Hapo...

Mushi, Rais wa Urusi amesema majeshi yake yataanza kuondoka Jumatatu alafu the interesting part ni kuwa eventually kunaweza kukawa na Peacekeepers...

Angela Merkel: "Georgia will be a member of NATO". She said that during her today's visit to Tbilisi

Kwa hiyo nyuma ya pazia Georgia wamepoteza South Ossetia na Abkhazia?
 
Back
Top Bottom