Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,184
- 44,040
basi watu walivyokuwa wajinga, washaanza kumuita mtoto wa mkulima ccm ! yaani watu wengine haki ya nani they never think ! mtu akisema kitu fulani against na opposition parties basi huyo definitely ccm ! wtf ?.. get over it people. binafsi sikuwa na chama chochote lakini kwa kuwa hapa forum kulikuwa na bias on one side, yaani wapinzani ( wakiongozwa na chadema ) kukazania ccm (ambao wapo madarakani ) huku wakiongelewa wao wanakataa, pindi nikisema kitu against wao wakaanza kusema mie ccm, so they made me ccm since that day and i guess i am ccm from their perspective ! wow ! what a great idea !
Nimecheka sana, maana muda mfupi uliopita Kingunge na Khatibu walijibu TUHUMA kwa CCM na Serikali yake, kijumla jumla, kama sasa wapenzi na wataalamu wa JF walivyojibu hizi tuhuma kwa Slaa kirahisi rahisi tu..
Nikacheka kwa sababu nilidhani kila principle watu wanayo-claim inafanya kazi, itakuwa inafanya kazi kwa sehemu vyama vyote, viongozi wote bila ubaguzi,,, kumbe zinafanyaka kwa CCM na Serikali yake tu!!!
Dr. Slaa anatakiwa kama kiongozi wa Umma tena aliyekuwa wa Dini, ajibu tuhuma hizo, regardless ni personal or what,
Ajibu alafu baada ya hapo aseme hata hivyo ni za kitoto or whatever...
Tunaomba hoja ijibiwe kwa hoja,,, TUHUMA hizo ni nzito na wakuweza kudhibitisha za kweli au sio ni Dr. Slaa mwenyewe au watu wa karibu yake...
Za Serikali tulitaka Serikali na viongozi wake tulitaka wajibu wenyewe, Za Dr. Slaa wanaJF ndio mnajibu...
Haya Mabadiliko ya Fikra hayana mwelekeo,,, tutaishia huko huko!!!
Mtanzania wa leo si yule wa miaka ya sabini,hakuna mtu yeyote anayeweza kukubaliana na tuhuma zinazo mhusu mtu binafsi,{private issues}hata viongozi waliopo madarakani wanayo manyanga mengi ambayo wamekuwa wakiyafanya,ili mradi tu hayana madhara kwenye jamii.Dr slaa kuwa fuska hakuwezi kusababisha Hospitali kukosa dawa,au kumfanya mtanzania kukosa maisha bora.mbona clinton alikuwa anakung'uta lakini nchi inaendelea.kinachomsikitisha mtanzania ni kuona viongozi kama akina kalamavi,bilauli,nk. wanasaini mikataba mibovu,nakulisababishia taifa hasara kubwa,ufisadi wa kutisha,
lakini masuala ya slaa kamvua mtu chupi,kazaa na nanii,ni uzushi na utumbo,havina nafasi tena kwa mtanzania wa leo mwenye uchu wa kujenga taifa na kuleta maendeleo.
hivi ni wapi vile katika hiyo makala or whatever inasema ni ccm ndio wameandika ? kama hamna, then shut your computers people ! acheni kuongea vitu msivyoweka kuproove. endeleeni na kampeni zenu kuipaka mavi ccm !
kuhusu list ya mafisadi ( slaa akiwemo namba 12 ) nakubaliana nayo, lakini mnapata wapi hii mentality ya mtu anapokosoa wapinzani mnamuita ccm ?? sielewi bado hii kitu !