Visit Kilimanjaro and Zanzibar haina mantiki

Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi, Selous, Ngorongoro, Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya Jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Hizi taaluma za watu ndugu, wewe umeongea kijiografia, wenzio wanaongea kibiashara zaidi (tourism marketing). Wako sahihi
 
Hapa nzuri ingekuwa visit Tanzania maana Kilimanjaro na Zanzibar vipo ndani Tanzania, ukisema visit Tanzania ina maana umemaliza kila kitu. Ndani ya Tanzania kuna Kilimanjaro, Zanzibar, Mikumi, Selous, Ngorongoro, Serengeti n.k

Halafu Tangazo kwa mechi moja tu ya kimataifa haina mantiki kabisa wangeweka nguvu uwanjani.
Sijui baada ya Jumapili itavaliwa wapi.View attachment 1942205
Siyo kila mara kutaja nchi huko ni kukosa ubunifu, kisa Rwanda wametoa ya visit Rwanda na yanga waige, muda mwingine creativity inahitajika
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom