Visasi vya mkuu wa kaya

Hawa mgambo wanacheza na hela za wananchi wanazolipwa mishahara kwa kazi wasizotekeleza huu ni ufisadi pia na inatakiwa wanaporudi rudi ofisini jioni waone aibu kwa kazi gani waliyoifanya mchana kwani wanapaswa kuelewa ya kuwa watanzania tunaona uzembe wafanyao'pia na sisi wananchi inatakiwa tuelimike sasa kutokununua bidhaa zitembezwazo mikononi ama zinazoanikwa chini kwani kwa kufanya hivyo tunawapa moyo wa kuendelea kufanya biashara sehemu hizi ambazo si rasmi pia hakuna guarantee katika hizi ndo maana tunauziwa mali ambazo pengine hazina kiwango ama ni mbovu kabisa utarudisha wapi na kwa naani?kesho humkuti lakini ingekuwa ni dukani ungerudisha ama ungekuwa na sehemu ya kulenga kwa malalamiko
 
alifanya mbadiliko kwa kumuondoa huyu kumweka yule ili kuleta tija katika utendaji,hayo mengine ni majungu.
 
Maj Gen Lupogo wa TCAIDS
Richard Mwaikenda mpiga picha wa Majira

Mej Gen Lupogo visa vilianza toka mkuu wa Kaya akiwa waziri wa mambo ya nchi za nje jamaa akatengeneza fitna atolewe ukurugenzi AICC
 
Back
Top Bottom