Visa nilivyoshuhudia kwa ndugu yangu Mtaalam wa Tiba za Asili

Nilichoka kanisani tulivyoambiwa mambo anayotufanyia bibi yetu mzaa baba na jinsi alivyomla baba yetu, mtoto wake wa kwanza kumzaa na jinsi alivyokuwa akila mimba za mdogo wangu zikiwa na miezi saba

Hakuna vitu kama hivyo ni mnachonganishwa tu
 
Moderator naomba muongee na developers muweke alama au symbol kutoa ishara kuwa zinatisha na mliosoma hui uzi jana usiku mkaenda kulala hamna tofaut na alietangaza vita ucku ulikuwa mfupi sn huu kwangu nimekojoa kwenue chupa kwa kuhofia kwenda choon sikulala kabisa ila ukiachilia mbal stor ya mleta umo ndan kuna jamaa kaweka stor ambayo pengine inaweza kuwa bora zaid kuliko ya mleta mada yaan unamuuhiza mtu miez sita kumbe mtu hayupo yupo mwanza mganga kigoma na mzee akaenda mbele za haki na mwisho jamaa akaamua kufuta chain yoote iliohusika

Mm nampa big up futa wote kabisa aijalish ni nan futilia mbali kwenye uso dunia shenz kabisa

Afu mleta mada ww ni mganga msaidiz maluweluwe unayoadithia kwa mtazamaj wa kawaida asinheweza himili lazima angetoka nduki eti jin linakuita naww unaenda iwe ndoto iwe physical hakuna binadamu wa kawaida anaweza kubali wito uo japo kwenye ndoto huwa kuna physical power hasa kwasiai binadamu nami nazijua nying km kuna mwanga atakuja kwrnye ndoto zangu ajiandae kwa kichapo heavy huko huwa nina nguvu sn

Nawapen hii siri ukienda kulala lala unaangalia juu miguu usiikunje km X bali itanuwe iwe km 11 mikon pia ivyo ivyo ukiikutanishe ushawah kuota ndoto mbaya alafu kukimbia huwez basi ni io X kwenye miguu ndio sababu lala miguu imenyooka kwenye ndoto unakuwa unaspeed sn unakimbia kwa speed nyingine ntawapa baadae

Nawasilisha
Hiyo ya kulala nikiangalia ju ili ilinishinda sababu ya usingizi kuja na kukata, kuja kukata, yaani silali sana bila kuamka, mara kwa mara.
Ila nikilala kwa tumbo basi nalala hadi kunakucha, non stop mara nyingi.
 
Maeneo ya kama unaenda Ifakara na Malinyi kuna Bibi anaitwa Kalembwana,jamaa wakikuhisi ni mchawi wanakudaka wanakupeleka.
Yule bibi akifanya yake halafu ukarudia uchawi fasta unapumzika kwa amani.

Nina mjua sana huyu Bibi Kalembwana na waganga wengine akina mangungu

Nikiwa Maenei hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau.

Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha.

Wakati anaendelea na hararakati zake za ukwezi juu ya mnazi mara akaanguka.

Ikapigwa yowe mara majirani wakaja kuanza kusaidia jamaa akawa kafa, wakati watu wanazidi kuongezeka kwenye Tukio mara vipande vya Sabuni ya mche vikaanza kuanguka toka juu ya huo mnazi,

Watu walihisi kitu wakakausha. Next day wakazika. ni ile misiba inakuwaga na wahuni wengi wa vijiweni na stand, so wakenda wakamzika mwana.

Jamaa wakarudi kijiweni wakaanza njama za kwenda kumdifit yule mzee mwenye mnazi ambae ndie alisadikika amemchujua jamaa KIMASKHARA

Wahuni wakapanga mission mambo yakaenda.

Siku moja mzee kaamka asubuhi ana mtindo wa kuzunguka kwenye compaund yake Akatahamaki Hamaaaaad watu hawa hapa wamejaa nje.

> Mzee shikamoo, sisi ni wageni zako

> Samahani wanangu ngoja niingie kwanza ndani ndio tuongeee

> Hapana mzee hakuna kuingia ndani
Mshikeni mshikeni huyo asiingine ndani anaenda kuurudisha uchawi wake, mshikeni tumpeleke kwa kalembwana.

Baada ya hapo wakaagiza Guta ( Baiskeli ya pedili ya miguu mitatu) Wakamfunga na manati safari ikaanza kwenda kwa Bibi Kalembwana

Kelele zikawa kubwa mji mzima jamaa anapelekwa kwa Bibi kalembwana kwenda Kunyolewa.

>>>>>>BIBI Kalembwana ni nani????

Huyu ni bibi mganga alishakufa tayari, siku hizi wapo wajuu zake ndio wanafanya uganga

Yeye alikuwa mtaalam wa kuneutralize uchawi

Let say mm nimekuhisi au nimekukamata ww kuwa mchawi, basi tunatoka wote tunaenda kwa kalembwana yeye anatunyoa nywele zote, kichwani kwapani kila sehemu ananyoa hadi Vuzi, hadi Vuzy Mku.ndu anafyeka bila huruma

Kisha anakupakaa Dawa kama unga mweupe unalala hapo kwake kama siku mbili.

Pia yule alie mkamata mwenzake uchawinhuwa anatakiwa aende na kuku. Huyu kuku anachinjwa anapikwa kwa ajili ya kuliwa na wale mahasimu wawili waliopelekana kwa Bibi

Mara zote yule mchawi hawezi kula chakula. Akilenga tonge mdomoni linakimbia linaenda shavuni, yani hawezi kula kabisa,

>>>>>>Baada ya Kumjua Kalembwana ni nani basi tuendelee
Safari ikawa inaendela ya kwenda kwa kalembwani huku Guta linaendeshwa kwa nguvu watu wanalikimbiza nyuma

Yule mzee hakufanikiwa kuuacha uchawi wake alikuwa nao wakati anapelekwa kunyokewa

>>>>>Safari anaanza kuwa ngumu

Wakati wapo njiani wamefika sehemu moja sijui kunaitwa wapi ila ni njia panda ya kwenda sijui ni wapi(Mnisahihishe) Babu akazua nongwa

>>>>>>Itaendelea ndugu zangu

Mara Guta likapata pancha safari ikawangumu wakapata sehemu wakaziba, mara mbele kidogo pancha tena, kumbe yule mzee ndio alikuwa anasababisha zile pancha kichawi

Jamaa walivyojua jua kuwa ni yeye walichuma viboko wakampiga Mbarati za kufa mtu
Akalia kinyama hadi huruma
ikabidi yule mzee kujiokoa akaiziba ile pancha kichawi mara tairi ikawa na upepo safari ikaendelea.

Wakati Wamefika karibia kwa mganga guta ikapata tena pancha. Hii ilikuwa pancha ya ukweli kabisa ya kukanyaga msumari,

Wahuni wawakujali wakampiga tena fimbo hatari mzee jinsi alivyokuwa nguli akaziba na hiyo pancha

Wakifika kwa kalembwana akaanza kuleta makeke baada ya kujulikana ni mchawi akawa hataki kunyolewa, kalembwana akasema muacheni alale atanyolewa kesho

Kesho yake akaamka akiwa kashanyokewa tayari mwili mzima na kapakazwa dawa, akaruhusiwa aondoke

Aliona aibu kurudi na watu ikabidi aende kuomba msaada kwa watu ahidhiwe akapelekwa mzee moja kwenye Mila sijui za wapogoro au wandamba wa huko kilombero na ulanga wanamuita "Mbuyi"

Huyo mbuyi ndio akamhifadhi kwake kwa siku kadhaa kisha akamsafirisha kimazingara hadi kwenye vichaka karibu na kwake

>>>> Mbuyi ni nani?

Ni wazee wa kimila huko kilombero na ulanga na malinyi.
Hawa wazee ni zaidi ya wachi.
Kwanza hawakai kwenyw nyumba za bati ni mwiko kabisa, hata akiwa na nyumba ya bati lazima atajenga ya nyasi pembeni na ataishi hapo

pia Mambuyi huwa hawavai kitu chochote mguuni. huwa wapo peku mda wote

Mbuyi akitaka kusafiri Let say Dar to Moro anatembea kidogo tuu anaingia Kichakani anapaa anaenda kutua Moro chaaap Dk. 0 Kwenye kichaka kingine anaendelea na mishe zake

Mtu yoyote alie kaa maeneo ya kilombero, Mlimba, Malinyi, Ulanga/ Mahenge lazima atakua anajua ligi za mambuyi

Mwisho.
 
Waganga sio waaminifu hata kidogo, nimepoteza rafiki yangu kwa mtindo huo wa waganga kula rushwa, maskini mshikaji alikumbana na mambo ya ajabu, Kuna wakati alikuwa ananipigia simu ananiambia kwamba watu wanamuona anabadilika anakuwa kiumbe wa ajabu, ila yeye mwenyewe anajiona Sawa tu..... Safari ya mwisho kuelekea umauti alikuwa kwa mganga mmoja, yule mganga akamwambia hatoweza kumtibu sababu tayari kijana ametolewa sadaka ili babake awe tajiri migodini huko.... Basi kijana a karudi zake dar, simu yake ya mwisho alinambia anaelekea morogoro ila hawezi kukaa kwenye mwenyewe ikabidi aende na mama yake, baada ya hapo sikusikia tena sauti ya David Bali nilipokea meseji kutoka kwa mama yake akinijulisha dav amefariki, nililia mnooo.... Dav ameondoka akiwa anajua kabisa baba yake ndiye sababu.....
Ilitakiwa am-kill uyo baba yake kabla
 
Nina mjua sana huyu Bibi Kalembwana na waganga wengine akina mangungu

Nikiwa Maenei hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau.

Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha.

Wakati anaendelea na hararakati zake za ukwezi juu ya mnazi mara akaanguka.

Ikapigwa yowe mara majirani wakaja kuanza kusaidia jamaa akawa kafa, wakati watu wanazidi kuongezeka kwenye Tukio mara vipande vya Sabuni ya mche vikaanza kuanguka toka juu ya huo mnazi,

Watu walihisi kitu wakakausha. Next day wakazika. ni ile misiba inakuwaga na wahuni wengi wa vijiweni na stand, so wakenda wakamzika mwana.

Jamaa wakarudi kijiweni wakaanza njama za kwenda kumdifit yule mzee mwenye mnazi ambae ndie alisadikika amemchujua jamaa KIMASKHARA

Wahuni wakapanga mission mambo yakaenda.

Siku moja mzee kaamka asubuhi ana mtindo wa kuzunguka kwenye compaund yake Akatahamaki Hamaaaaad watu hawa hapa wamejaa nje.

Mshikeni mshikeni huyo asiingine ndani anaenda kuurudisha uchawi wake, mshikeni tumpeleke kwa kalembwana.

Baada ya hapo wakaagiza Guta ( Baiskeli ya pedili ya miguu mitatu) Wakamfunga na manati safari ikaanza kwenda kwa Bibi Kalembwana

Kelele zikawa kubwa mji mzima jamaa anapelekwa kwa Bibi kalembwana kwenda Kunyolewa.

Huyu ni bibi mganga alishakufa tayari, siku hizi wapo wajuu zake ndio wanafanya uganga

Yeye alikuwa mtaalam wa kuneutralize uchawi

Let say mm nimekuhisi au nimekukamata ww kuwa mchawi, basi tunatoka wote tunaenda kwa kalembwana yeye anatunyoa nywele zote, kichwani kwapani kila sehemu ananyoa hadi Vuzi, hadi Vuzy Mku.ndu anafyeka bila huruma

Kisha anakupakaa Dawa kama unga mweupe unalala hapo kwake kama siku mbili.

Pia yule alie mkamata mwenzake uchawinhuwa anatakiwa aende na kuku. Huyu kuku anachinjwa anapikwa kwa ajili ya kuliwa na wale mahasimu wawili waliopelekana kwa Bibi

Mara zote yule mchawi hawezi kula chakula. Akilenga tonge mdomoni linakimbia linaenda shavuni, yani hawezi kula kabisa,

Safari ikawa inaendela ya kwenda kwa kalembwani huku Guta linaendeshwa kwa nguvu watu wanalikimbiza nyuma

Yule mzee hakufanikiwa kuuacha uchawi wake alikuwa nao wakati anapelekwa kunyokewa

Wakati wapo njiani wamefika sehemu moja sijui kunaitwa wapi ila ni njia panda ya kwenda sijui ni wapi(Mnisahihishe) Babu akazua nongwa
Hao wajukuu zake nasikia wengine wako sehemu moja inaitwa mwaya ukipita mahenge kwa mbele huko,wanakula hela za watu hatari,na wapogolo wa kule wanavyowaamini sasa huwaambii kitu!!
 
Nina mjua sana huyu Bibi Kalembwana na waganga wengine akina mangungu

Nikiwa Maenei hayo ya kilombero Niliwahi kuona uchawi ambao sitasahau.

Kuna kijana mmoja aliombwa aangue nazi kutoka kwenye mnanzi wa mzee fulani, Jamaa akavaa kamba miguuni akapanda akashusha nazi za kutosha.

Wakati anaendelea na hararakati zake za ukwezi juu ya mnazi mara akaanguka.

Ikapigwa yowe mara majirani wakaja kuanza kusaidia jamaa akawa kafa, wakati watu wanazidi kuongezeka kwenye Tukio mara vipande vya Sabuni ya mche vikaanza kuanguka toka juu ya huo mnazi,

Watu walihisi kitu wakakausha. Next day wakazika. ni ile misiba inakuwaga na wahuni wengi wa vijiweni na stand, so wakenda wakamzika mwana.

Jamaa wakarudi kijiweni wakaanza njama za kwenda kumdifit yule mzee mwenye mnazi ambae ndie alisadikika amemchujua jamaa KIMASKHARA

Wahuni wakapanga mission mambo yakaenda.

Siku moja mzee kaamka asubuhi ana mtindo wa kuzunguka kwenye compaund yake Akatahamaki Hamaaaaad watu hawa hapa wamejaa nje.

Mshikeni mshikeni huyo asiingine ndani anaenda kuurudisha uchawi wake, mshikeni tumpeleke kwa kalembwana.

Baada ya hapo wakaagiza Guta ( Baiskeli ya pedili ya miguu mitatu) Wakamfunga na manati safari ikaanza kwenda kwa Bibi Kalembwana

Kelele zikawa kubwa mji mzima jamaa anapelekwa kwa Bibi kalembwana kwenda Kunyolewa.

Huyu ni bibi mganga alishakufa tayari, siku hizi wapo wajuu zake ndio wanafanya uganga

Yeye alikuwa mtaalam wa kuneutralize uchawi

Let say mm nimekuhisi au nimekukamata ww kuwa mchawi, basi tunatoka wote tunaenda kwa kalembwana yeye anatunyoa nywele zote, kichwani kwapani kila sehemu ananyoa hadi Vuzi, hadi Vuzy Mku.ndu anafyeka bila huruma

Kisha anakupakaa Dawa kama unga mweupe unalala hapo kwake kama siku mbili.

Pia yule alie mkamata mwenzake uchawinhuwa anatakiwa aende na kuku. Huyu kuku anachinjwa anapikwa kwa ajili ya kuliwa na wale mahasimu wawili waliopelekana kwa Bibi

Mara zote yule mchawi hawezi kula chakula. Akilenga tonge mdomoni linakimbia linaenda shavuni, yani hawezi kula kabisa,

Safari ikawa inaendela ya kwenda kwa kalembwani huku Guta linaendeshwa kwa nguvu watu wanalikimbiza nyuma

Yule mzee hakufanikiwa kuuacha uchawi wake alikuwa nao wakati anapelekwa kunyokewa

Wakati wapo njiani wamefika sehemu moja sijui kunaitwa wapi ila ni njia panda ya kwenda sijui ni wapi(Mnisahihishe) Babu akazua nongwa

Mara Guta likapata pancha safari ikawangumu wakapata sehemu wakaziba, mara mbele kidogo pancha tena, kumbe yule mzee ndio alikuwa anasababisha zile pancha kichawi

Jamaa walivyojua jua kuwa ni yeye walichuma viboko wakampiga Mbarati za kufa mtu
Akalia kinyama hadi huruma
ikabidi yule mzee kujiokoa akaiziba ile pancha kichawi mara tairi ikawa na upepo safari ikaendelea.

Wakati Wamefika karibia kwa mganga guta ikapata tena pancha. Hii ilikuwa pancha ya ukweli kabisa ya kukanyaga msumari,

Wahuni wawakujali wakampiga tena fimbo hatari mzee jinsi alivyokuwa nguli akaziba na hiyo pancha

Wakifika kwa kalembwana akaanza kuleta makeke baada ya kujulikana ni mchawi akawa hataki kunyolewa, kalembwana akasema muacheni alale atanyolewa kesho

Kesho yake akaamka akiwa kashanyokewa tayari mwili mzima na kapakazwa dawa, akaruhusiwa aondoke

Aliona aibu kurudi na watu ikabidi aende kuomba msaada kwa watu ahidhiwe akapelekwa mzee moja kwenye Mila sijui za wapogoro au wandamba wa huko kilombero na ulanga wanamuita "Mbuyi"

Huyo mbuyi ndio akamhifadhi kwake kwa siku kadhaa kisha akamsafirisha kimazingara hadi kwenye vichaka karibu na kwake

Ni wazee wa kimila huko kilombero na ulanga na malinyi.
Hawa wazee ni zaidi ya wachi.
Kwanza hawakai kwenyw nyumba za bati ni mwiko kabisa, hata akiwa na nyumba ya bati lazima atajenga ya nyasi pembeni na ataishi hapo

pia Mambuyi huwa hawavai kitu chochote mguuni. huwa wapo peku mda wote

Mbuyi akitaka kusafiri Let say Dar to Moro anatembea kidogo tuu anaingia Kichakani anapaa anaenda kutua Moro chaaap Dk. 0 Kwenye kichaka kingine anaendelea na mishe zake

Mtu yoyote alie kaa maeneo ya kilombero, Mlimba, Malinyi, Ulanga/ Mahenge lazima atakua anajua ligi za mambuyi

Mwisho.
Duniani kuna mambo
 
Mwaka 2011 nimemuuguza mzee..nikampeleka India..then South Africa kote huko kwa miezi minne mzee akawa bado hajapona natika kipindi chote hicho cha miezi minne hapati choo lakini anakula vizuri.. Hosp vipimo vikaonyesha kaoza kila kitu ndani(mapafu, utumbo, figo,) lakini mzee nk,mzima..

Dr mmoja kule South akaniiita chamber ..huyu jamaa nk, mtanzania ila anabeba box huko..tukaongea sana..akaniuliza sana historia ya mzee. Kisha akaniambia huku utapotEza hela mrudishe home mkaangalIe tiba za asili ..maradhi ya mzee sio ya kawaida.

Nikaarange safar tukarudi bongo..nikafikia Lugalo hosp..mzee akalazwa tena hapo.. muda wote huo nilikiwa siamini kama mzee karogwa..siku moja akaja rafiki yangu kunisalimia ila akaambatana na jamaa yake mmoja wakaja hadi hosp..kufika yule jamaa yake rafiki yangu alipomuona mzee akaguna kwa nguvu kiaha akatoka nje.. sikujali sana ila nikanote kitu..badae akarudi..akawa kimua mda wote..

Walipotoka nikawasindikiza kidogo jamaa yule akaniambia naomba bro naomba naomba namba yako nitakuchek..
Kesho yake akanicheki akaomba tuonane ..tukaonana..akaniambia mkuu wewe umekulia bongo hii.. asili yenu wapi..kwa kifupi akaniambia mbona pale baba hayupo kile ni kivuli.. yule sio mtu.. unauguza kitu kingine.. niliogopa sana.. akanishauri anipeleke kwa mdogo wake ni mtalam wa tiba asili..nikamtoa mzee hosp nikamuacha Bunju kwa bro..nikasepa Kigoma..

To cut thw story short ..mzee wangu alirogwa na kule kwa mtaalam nikaona chain nzima waliohusika na mganga akasema tumeshachelewa na mzee ..tar 14 Dec mzee akafa..nikapeleka Mwanza kwetu tukazika..baada ya siku mbili nikasafiri na kuondoka Mwanza kurudi Kigoma..nikakaa kule kwa wiki tatu..nikafanya jambo ambalo sikuwahi kulipanga katika maisha..KISASI KIKUU..

Niliemjulisha na anaejua jambo hili ni kaka yangu mkubwa tu.. wengine wote hadi kesho hawajui..
Wachawi washenzi sana..daah pole sana mkuu ,
 
Back
Top Bottom