syber
Member
- May 6, 2013
- 35
- 29
Habari wana JF!
Naomba msaada kwa mtu anayemfaham mtaalam mzuri anayetibu kwa kutumia dawa za kienyeji ( mganga/ustadh) aniunganishe nae popote Tanzania.
Shangaz yetu aliungua toka mwaka jana mwezi wa 12 mwishoni tukampeleka bugando akachukuliwa vipimo vyote lakin hakuonekana na ugonjwa wowte.
Baada ya kukaa Bugando kwa takriban mwez mzima bila mafanikio yoyote tukashauriwa na Daktari tumpeleke Muhimbili hivyo tukamleta hapa Muhimbili lakin toka kafika hadi saiv miez mitatu bado hali ile ile, hakuna ugonjwa wala nn.
Tunaomba msaada wenu wana JF tumuokoe ndugu yetu.
Pesa sio shida ila tunahitaj mtaalam ( mganga wa kienyej / ustadh ) ambaye ni mzuri anatoa tiba ya uhakika.