[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa umenichekesha sana asubuhi ya leo. Nilikuwa kuna mambo nayawaza baada ya kusoma huu uzi wako nimejikuta nacheka peke yangu kwa sauti.Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax/tungi/maji ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata henenga (henessy)a.k.a mnyama mkali ya kutosha na kupoteza network,cjui nlifikaje nyumbani ila asubuhi yake nilijikuta sebleni nimelala kwenye sofa la mama mwenye nyumba wangu ambae ni maza wa makamo iv (mashaalah),baada ya kilaji kukata nilikurupuka mithili ya digidigi anayewindwa na simba porini,huku mapigo ya moyo yakienda mbio na kujiuliza nimefikaje pale wakati cnaga mazoea hayo..daah kama baada ya dk 2 tatu iv kupita bimkbwa aliposikia najikoholesha akatoka chumbani mwake na kuniuliza" mwanangu jana ulikumbwa na kitu gani"?.umekuja na bodaboda umekataa kumlipa mpaka nimekulipia,nusura mpigane kwa ww kumjibu vibaya,bas nkakwambia mwanangu kapumzike kwenye chumba chako tutaongea kesho pia ukagoma,ukasema unanipenda sana na unataka tukalale wote..embu fikiria baba ako (baba mwenye nyumba)angekuwepo c yangekua n matatizo jmn? Baada ya kugoma kutoka mimi na dada ako (...)tukakubembeleza ndo ukakubali kulala hapa seblen.Wakuu baada ya mkasa huo nlijitafakari sana,nkajisemea kimoyo moyo iv kwel nlikua nataka kumkata bi mkubwa?[emoji16][emoji16][emoji16]...! Toka siku hio niliamua bila kushurutishwa na mtu kutokugusa tena kilaji,niliishi kwa kujificha ficha hapo nyumban mpaka nlipoamua kuhama kwa siri!!
Mkuu niletee Konyagi na mlijamkuu naona umewahi siti ya mbele kabisa ukiwasubiri wengine waje,[emoji16][emoji16][emoji16] ngoja nkuletee soda baridii!
Sio HennessyMkuu niletee Konyagi na mlija
Pombe nyingine hizo zipite tuSio Hennessy
[emoji3][emoji3] wahuni sio watu wazuri. Ila hayo madude makali kama kichwa ni chepesi bora kuyanywea ghetto ili hata ukiangusha unakuwa safePombe nyingine hizo zipite tu
Mkuu hii ni chai. Kama ulikata network nani alimuelekeza bodaboda kwenu? Kukata netwok sio kipolepole watu wanalala mitaroni. By the way bi mdashi hakukupa hata kidogo later on?Wadau ni mkasa gani wa ajabu uliowahi kufanya wakati ukiwa bwax/tungi/maji ambao hutokaa uusahau au ulikufanya uache pombe? Binafsi ilinitokea mikasa kadhaa ila ambao ctokaa niusahau ni siku ambayo nilikata henenga (henessy)a.k.a mnyama mkali ya kutosha na kupoteza network,cjui nlifikaje nyumbani ila asubuhi yake nilijikuta sebleni nimelala kwenye sofa la mama mwenye nyumba wangu ambae ni maza wa makamo iv (mashaalah),baada ya kilaji kukata nilikurupuka mithili ya digidigi anayewindwa na simba porini,huku mapigo ya moyo yakienda mbio na kujiuliza nimefikaje pale wakati cnaga mazoea hayo..daah kama baada ya dk 2 tatu iv kupita bimkbwa aliposikia najikoholesha akatoka chumbani mwake na kuniuliza" mwanangu jana ulikumbwa na kitu gani"?.umekuja na bodaboda umekataa kumlipa mpaka nimekulipia,nusura mpigane kwa ww kumjibu vibaya,bas nkakwambia mwanangu kapumzike kwenye chumba chako tutaongea kesho pia ukagoma,ukasema unanipenda sana na unataka tukalale wote..embu fikiria baba ako (baba mwenye nyumba)angekuwepo c yangekua n matatizo jmn? Baada ya kugoma kutoka mimi na dada ako (...)tukakubembeleza ndo ukakubali kulala hapa seblen.Wakuu baada ya mkasa huo nlijitafakari sana,nkajisemea kimoyo moyo iv kwel nlikua nataka kumkata bi mkubwa?[emoji16][emoji16][emoji16]...! Toka siku hio niliamua bila kushurutishwa na mtu kutokugusa tena kilaji,niliishi kwa kujificha ficha hapo nyumban mpaka nlipoamua kuhama kwa siri!!
Kanunue kachori uji tunywee,mkuu network haikukata mazima nilikua nikipanda juu ya mti kamnara kanachungulia,(ckuwahi kusahau nyumban hata ninywe vip) kwakwel namshukuru Mungu,ila ukiniuliza niliyofanya jana cwez kukwambia hata moja!! Narudia cwez! Kusema kwel baada kupumzika kula kilaji mawazo ya bi mdashi yalitoweka akilini mwangu japo nikikumbuka lile chura najipigiapo selfie mara moja moja![emoji12] [emoji12] [emoji12]Mkuu hii ni chai. Kama ulikata network nani alimuelekeza bodaboda kwenu? Kukata netwok sio kipolepole watu wanalala mitaroni. By the way bi mdashi hakukupa hata kidogo later on?
Wacha kabisa hivi visa mtu ukisimuliwa waweza sema chai lkn kwa wale wenzangu namie wanajua nguvu ya kilaji![emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] we jamaa umenichekesha sana asubuhi ya leo. Nilikuwa kuna mambo nayawaza baada ya kusoma huu uzi wako nimejikuta nacheka peke yangu kwa sauti.
Noma sana mzee. Shusha kingine tukisubiri wadau nao walete visa vyaoWacha kabisa hivi visa mtu ukisimuliwa waweza sema chai lkn kwa wale wenzangu namie wanajua nguvu ya kilaji!
Hujui nguvu ya kilaji ww! Waweza nywea gheto ukatoka kwenda kwa jirani kufanya fujo![emoji16][emoji16][emoji16][emoji3][emoji3] wahuni sio watu wazuri. Ila hayo madude makali kama kichwa ni chepesi bora kuyanywea ghetto ili hata ukiangusha unakuwa safe
[emoji3][emoji3] nilikuwa najiuliza kama hukumbuki ulifikaje home, ilikuwaje ukachukua bodaboda na njia ukaelekeza hadi mkafika. Hapa ndio sijaelewa kabisaHujui nguvu ya kilaji ww! Waweza nywea gheto ukatoka kwenda kwa jirani kufanya fujo![emoji16][emoji16][emoji16]
Niliwahi kususu hadharani mchana kweupe baada ya vitu kukolea,nakumbuka nilibadili bar kabisa sababu ilikua fedheha,na kale kamuhudumu nlokua nakafukuzia pale kakaniblock kabisa![emoji16][emoji16][emoji16] .Noma sana mzee. Shusha kingine tukisubiri wadau nao walete visa vyao
Hii chai mzee babaNiliwahi kususu hadharani mchana kweupe baada ya vitu kukolea,nakumbuka nilibadili bar kabisa sababu ilikua fedheha,na kale kamuhudumu nlokua nakafukuzia pale kakaniblock kabisa![emoji16][emoji16][emoji16] .