rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 15,200
- 20,178
Tatizo mods wanaendekeza upumbavu kuna watu wanatukana ovyo wanaachwaWajinga wamekua wengi sana,
Nahis ni wageni toka facebook mana wanacoment ujinga mwingi sana kama vile ilikua lazima waandike kitu
unazipend sana nije unipe hadith hadithAfanye haraka mwambie
Njoo
mpak nikifik utakuwa ushamaliza kuandaaaNjoo
We ukuje tumpak nikifik utakuwa ushamaliza kuandaaa
Utajiri unautaka na kwa masharti yako!! Ukiupata huo wa masharti unapanga ww nishtue twende wote!!Daa mkuu ungechoma kweli Ungekuwa ni tajiri pia mie kuna mmoja aliniambia Mara Niue Mke Wangu,Mara mwanangu ama mwanangu awe kama mento yule Wa kutoa maudenda mkuu.
Duu nikawaza nikaona dunia tunapita. Uzuri zile mambo akili yako timamu inakuwepo so ni Poa Sana.
Ila mie natafuta Wa kuvaa nguo moja miaka hata mia,nilale chini ama nisidinde yaani kuua tu kunanishinda na mwanangu nampenda eti nimuue kwani utajiri huo sintokufa.
Maisha ya binadamu hapa duniani ni mafupi mno yaani mno kuna muda utafika uyalijua hili.
Ukiwa 10+ ,20+ unaona kama utaishi milele ila ngoja uanze kugusa 30+,40+
wew janjajanja ehWe ukuje tu
Acha uthengeChai sukari imezidi
Naomba link mkuu huo sijauonaHuu uzi umepoa sio kwama wa magere
Naomba link mkuu huo sijauonaHuu uzi umepoa sio kwama wa magere
Uzi wangu lakini naanza kuuogopa. Naumwa nikikaa vizuri ntaandika.ila nikiendeleza tu baadaye kichwa kinanitesa sanaChizi Maarifa ukuje bwana tunakusuburi
Jaribu tena bwana itakuwa network tuwew janjajanja ehfanya kuni pm mkuu naona umeniekea kufuli zito
Jamani pole sana usiuogope tupo pamoja na weweUzi wangu lakini naanza kuuogopa. Naumwa nikikaa vizuri ntaandika.ila nikiendeleza tu baadaye kichwa kinanitesa sana
Kwamba ulimezwa na mamba kisha akakutema!!
Huyo mamba alikuwa na masihara.
Hatari sana mkuu..!
Wakati mleta mada anameza mate ngoja niwape hii nayo kiufupi!
Enzi hizo mkoani Dodoma kulikuwa na mganga maarufu(jina kapuni) akatokea kijana mmoja akavutiwa na shughuli ile, akamwomba mganga amfundishe(dawa,miiko,masharti n.k) mganga akamwambia nitakupa mtihani ukiushinda nakupa mikoba, Kijana akasema nipo tayari kwa lolote.
Mtihani wenyewe ulikuwa kulala makaburini usiku kucha peke yake!
Kwakuwa kijana aliutaka uganga, akaondoka jioni kuelekea makaburini.. kufanyiwa majaribio!
Kilichofuata saa chache baadaye ni kijana kurudi nyumbani kwa mganga mbio huku akipiga kelele za kuomba msaadakatika kusimulia kilichojiri akasema ilipofika kwenye saa6 hivi akaanza kuhisi mauzauza mara kama watu wanaongea, mara watu wanalia..baadaye akasikia vishindo vya watu wengi wakijongea kumfuata, uzalendo ukamshinda akatimua mbio
Mganga akamwambia alikuwa anamjaribu yeye kwa matukio hayo na alitakiwa kuwa jasiri na kuvumilia sasa kwakuwa amashindwa basi uganga ndio ikawa basi tena!
sawa mkuu nimekupa ushindi wa mezaniJaribu tena bwana itakuwa network tu