Visa na Mikasa vya kusaka kwangu Utajiri toka Kigoma mpaka Kongo

Daa mkuu ungechoma kweli Ungekuwa ni tajiri pia mie kuna mmoja aliniambia Mara Niue Mke Wangu,Mara mwanangu ama mwanangu awe kama mento yule Wa kutoa maudenda mkuu.
Duu nikawaza nikaona dunia tunapita. Uzuri zile mambo akili yako timamu inakuwepo so ni Poa Sana.
Ila mie natafuta Wa kuvaa nguo moja miaka hata mia,nilale chini ama nisidinde yaani kuua tu kunanishinda na mwanangu nampenda eti nimuue kwani utajiri huo sintokufa.
Maisha ya binadamu hapa duniani ni mafupi mno yaani mno kuna muda utafika uyalijua hili.
Ukiwa 10+ ,20+ unaona kama utaishi milele ila ngoja uanze kugusa 30+,40+
Utajiri unautaka na kwa masharti yako!! Ukiupata huo wa masharti unapanga ww nishtue twende wote!!
 
Hatari sana mkuu..!

Wakati mleta mada anameza mate ngoja niwape hii nayo kiufupi!

Enzi hizo mkoani Dodoma kulikuwa na mganga maarufu(jina kapuni) akatokea kijana mmoja akavutiwa na shughuli ile, akamwomba mganga amfundishe(dawa,miiko,masharti n.k) mganga akamwambia nitakupa mtihani ukiushinda nakupa mikoba, Kijana akasema nipo tayari kwa lolote.

Mtihani wenyewe ulikuwa kulala makaburini usiku kucha peke yake!
Kwakuwa kijana aliutaka uganga, akaondoka jioni kuelekea makaburini.. kufanyiwa majaribio!

Kilichofuata saa chache baadaye ni kijana kurudi nyumbani kwa mganga mbio huku akipiga kelele za kuomba msaada katika kusimulia kilichojiri akasema ilipofika kwenye saa6 hivi akaanza kuhisi mauzauza mara kama watu wanaongea, mara watu wanalia..baadaye akasikia vishindo vya watu wengi wakijongea kumfuata, uzalendo ukamshinda akatimua mbio

Mganga akamwambia alikuwa anamjaribu yeye kwa matukio hayo na alitakiwa kuwa jasiri na kuvumilia sasa kwakuwa amashindwa basi uganga ndio ikawa basi tena!

Duuuh hata mimi ningeshindwa aseee
 
84 Reactions
Reply
Back
Top Bottom