Virtual Private Network
Hellow Great Thinker
Taarifa rasmi kwawale wote walioshidwa kufanya
access ndani ya JF. VPN ndio mkombozi wetu toka tarehe 28 usiku sikuweza kufanya
access ndani mtandao wetu pendwa wa JF nilifanya majaribio kadhaa ya kuipata hi application ya VPN bila mafanikio kwani hapo mwanzoni haikua ndani ya simu yangu mungu nimwema leo majira ya saa 7 mchana nimefanikiwa kuipata.
Baadaya kuifungua hii APP Mambo yamekuwa mazuri.