Ha ha! Kuna watu wasingekuwa karibu nami mpk sahivi wangekuwa nje ya mtandao! Wacha nijisifu maana niligutuka mapema mno kulitambua hili likiwa bado hatua za awali! Wengine waliona kama ajabu kurudi hewani..😅 kama nchi tumefika pabaya siko proud na hili they are afraid of their own shadow!Connected to France, hapa mkuu full kujiachia
Wakini-track watanikuta nipo UKHii ni nzuri pia ili kuepuka hii Serikali dhalimu ambayo inafuatilia hadi watu wanachoandika mitandaoni kuikosoa. Kwani kuna wengi waliokamatwa kwa kumsema vibaya huyo anayejiita mwendawazimu au serikali yake.
Hapo ndipo wanapiniacha hoiMnatumia VPN kuwasifia waliofunga internet
Yakutumia kwenye PC mkuu ni ipi?
Mimi niko zangu Japan! Ila nasikia "tisialaei" wamepiga mikwara kwamba eti watatutafuta!
Aisee huku fresh sana..niko Kumamoto kwa sasa napiga misele tu hapa.Ahaaha tunanchi karibia 10 zakukimbilia bila malipo yani ni-free, habari za mudaa huu hapo JAPAN [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1616621