Virgin girl | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Virgin girl

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Mohammed Shossi, Apr 14, 2012.

 1. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #1
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Boy drops girl at home, he puts his hand on d wall by d gate for support, leans towards her and says "can I kiss u"?

  Girl; Not now, I'm at home
  Boy; please
  Girl ; No
  Boy; u were too sweet in bed 2day
  Girl: waoh! u too, full of energy. I culd not believe we had 4 rounds.
  Boy: let me kiss u gudnite
  Girl: someone may be watching, they still think I'm a virgin at home.
  This goes on for 10 mins
  Then girl's brother appears at d gate and says;
  "Dad says whether u kiss him or not its ur decision, but tell that bastard to remove his hand from the intercom button, everyone at home is listening to ur conversation!  Intercom ni chombo cha mawasiliano kinachofungwa kwenye mageti ya nyumba nyingi za kisasa, kuna intercom ambazo unabofya kitufe na unawasiliana na mtu alie ndani na akikujua ndio geti linafunguliwa. Zipo intercom ambazo hata anaepofya kitufe anaweza kuonekana kwenye kisceen kidogo ndani ya mjengo.

  Mvulana amaemshusha msichana nyumbani kwao akaweka mkono kwenye geti kujisapoti huku akimwinamia msichana na kumuuliza n aweza kukukiss?
  Msichana: Hapana sio sasa nipo nyumbani
  Mvulana: Tafadhali
  Msichana: Hapana
  Mvulana: Leo ulikuwa mtamu sana kitandani
  Msichana: Waoh! wewe pia ulikuwa na nguvu sana sikuweza kuamini kama tulipiga round nne.
  Mvulana: Naomba nikukiss busu la usiku mwema
  Msichana: Pengine kuna mtu anatutizama nyumbani wanajua mimi bado bikra. Malumbano yaliendelea kwa muda wa dakika kumi.
  Kaka wa msichana akatokea getini na kusema; "Baba anasema ikiwa unambusu au hutambusu hiyo ni uamuzi wako lakini mwambie huyo mwanaharamu atoe mkono wake kwenye kitufe cha intercom kila mtu ndani anasikiliza mazungumzo yenu"
   
 2. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #2
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Heeee lol
   
 3. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #3
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  teheteheteh....watu hawajui intercom....hawatacheka wala nini
   
 4. COURTESY

  COURTESY JF-Expert Member

  #4
  Apr 14, 2012
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 2,018
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  hehehehehe yerewiiii
   
 5. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #5
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Watu wataforce ku komment na kucheka ili wasigundulike kuwa hawaijui intercom....button loh!!!! dunia hii........kwikwiwkwiw
   
 6. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #6
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160

  That means wataocheka watakuwa kidogo itapunguza kelele lol, ila ni noma imagine Ta Muganyizi ndio ulikua umebofya kitufe halafu unalalama kama beberu lol
   
 7. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #7
  Apr 14, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Aibu sana mwana.
   
 8. Mohammed Shossi

  Mohammed Shossi Verified User

  #8
  Apr 14, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 3,986
  Likes Received: 123
  Trophy Points: 160
  Yaani ukisikia tu ujumbe wa shemeji kutoka kwa mshua pum#u lazma zizame ndani!
   
 9. Pota

  Pota JF-Expert Member

  #9
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 1,813
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  kweli aiseee, hivi hiyo intercom ni nini? aina ya mike au?, kwa nini asingeandika kwa kiswahili
  ili tuelewe vzr? mi alishanipoteza tangu mwanzoni et "...boy drops girl?..."
   
 10. Negrodemus

  Negrodemus JF Gold Member

  #10
  Apr 14, 2012
  Joined: Dec 30, 2010
  Messages: 2,130
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  kitu ka mr bean kwenye john english.
   
 11. Fazul

  Fazul Member

  #11
  Apr 14, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 81
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Balaa hii!
   
 12. Mtanzanika

  Mtanzanika JF-Expert Member

  #12
  Apr 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2012
  Messages: 2,209
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  sikua najua intercom ni kidudu gan lakini kwa haraka haraka ukifuatilia alichosema brother wa the girl.....utagundua ni chombo flani watu wanasikia kila kitu huko ndani......hahahahaahahah!!!
   
 13. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #13
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  true. Huhitaji kujua intercom, ukijua kiingereza inatosha.
   
 14. toghocho

  toghocho JF-Expert Member

  #14
  Apr 14, 2012
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 1,177
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  hata kama hujui hiyo sijui intercom, si unaisoma kwenye sentensi unaelewa...nimecheka sana mkuuuuuuuuuu
   
 15. z

  zamo Member

  #15
  Apr 15, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  teh!! teeh, yerewiii hii kali mkuu
   
 16. Endangered

  Endangered JF-Expert Member

  #16
  Apr 15, 2012
  Joined: Sep 22, 2011
  Messages: 929
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  aisee namuonea sana huruma. Sijui utakimbiaje? Na huyo binti anaanzeje kuwasalimia home? Noma sana yani!
   
 17. Deejay nasmile

  Deejay nasmile JF-Expert Member

  #17
  Apr 15, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,916
  Likes Received: 656
  Trophy Points: 280
  Penyewe hapo umesemaje?
   
 18. Dr.kapama

  Dr.kapama Senior Member

  #18
  Apr 16, 2012
  Joined: Nov 12, 2011
  Messages: 184
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ohw com'on...
   
 19. mamLook

  mamLook Member

  #19
  Apr 16, 2012
  Joined: Feb 26, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 15
  Kwakwakwa it open my week
  /intercomm
   
 20. busby

  busby Senior Member

  #20
  Apr 16, 2012
  Joined: Apr 12, 2012
  Messages: 149
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Intercom?
   
Loading...