Virgin girl

Intercom?
Yes intercom kuna nyumba nyingi tu zinakuwa nazo kwenye mageti ukibonyeza kitufe utakachoongea unasikiwa na waliopo ndani na kuna intercom nyingine wanakuona na kukusikia pia unaweza ukaulizwa nani? unajibu mimi Busby halafu kule kule ndani wakibofya kitufe lock inaji unclock.
 
Lols! I wonder nin kilifuata baada ya ujumbe wa shemeji hahaa the boy alikimbia au??the girl alivyoingia ndani alikua na courage ya kumface mtu yoyote?kwi kwi kwi
just curious
 
Mwanzo nilianza kucheka...
Alvyokuja huyo,bro na maneno yake..
Hadi mda huu nawaza ningekuwa mim ingekuwa nin
 
Hii kali, ujanja wa msichana wote chali, coz kila mmoja home kishaelewa cyo tunda bichi
 
Back
Top Bottom