Mimi najiuliza kuhusu hivi vipindi na umuhimu wake kwa jamii.
Jamani watangazaji wanajinogesha kama wako kitandani duh!havichochei ngono kweli?Mambo yanayoongelewa ni vichocheo tosha.
Nani kawaambia saa nne usiku watoto wameshalala?
Duh! kwa hili mmechemsha wadau
Sent using
Jamii Forums mobile app