Vipindi vya redio usiku wa mahaba

omereo

Member
Dec 29, 2018
54
79
Mimi najiuliza kuhusu hivi vipindi na umuhimu wake kwa jamii.

Jamani watangazaji wanajinogesha kama wako kitandani duh!havichochei ngono kweli?Mambo yanayoongelewa ni vichocheo tosha.

Nani kawaambia saa nne usiku watoto wameshalala?

Duh! kwa hili mmechemsha wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Navyojua TCRA wameruhusu vipindi vyote vya mahaba vinaanza saa nne usiku, na upande wa televisheni video zote zenye kuchochea ngono kiasi zinaanzia saa tano usiku. So wamepewa go ahead.
 
Mimi najiuliza kuhusu hivi vipindi na umuhimu wake kwa jamii.

Jamani watangazaji wanajinogesha kama wako kitandani duh!havichochei ngono kweli?Mambo yanayoongelewa ni vichocheo tosha.

Nani kawaambia saa nne usiku watoto wameshalala?

Duh! kwa hili mmechemsha wadau

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna watu wanasikiliza huu upupu?

Sent using .... who cares anyway
 
Back
Top Bottom