Vipi vilikua kipaumbele chako wakati unachagua mchumba/mke?

Hayanaga mwongozo mkuu. Ukishapenda sawasawa hata ulikuwa na vigezo vyako unaviona siyo vya muhimu kivile...ukija kushtuka muda wa kampeni umeshaisha jimbo limeshachululiwa na mgombea keshaapishwa upo unaonja joto ya jiwe...

Kwangu mimi kigezo kikubwa kilikuwa ni akili na emotional intelligence. Binti aliye vizuri upstairs na ambaye ana emotional intelligence kubwa kama Mama E basi mi kwishnei haijalishi kama ni kama ni pisi kali ama la!
Mkuu ahsante kwa mchango wako, msaada hapo kwenye Emotion Inteligence
 
Back
Top Bottom