Vipi Unatongoza


...ha ha haaa haa...usijeitiwa mwizi tu kaka, ha haa
 

Sasa mkuu wewe msonyo au kusemewa nyumbani ndio kunakukimbiza? Kumbuka dada zetu wanapenda mwanaume anayejiamini, akikusonya ama kukusemea wewe endeleza libeneke kama hakuna kitu kilichotokea lakini usiwe
i. king'ang'anizi kama ruba
ii.usiwe desperate

Ila akikupigia kelele za mwizi huyo hakufai na si mstaarabu lol.
 
wapo vijana wazuri, mtafute mzee wa durban atakupa trick za kuwanasa hao viumbe, inahitaji uwe na mazoezi ya kutosha
 

Mazee old school chivarly naona, siku hizi vijana wana "hook up".

Ushairi kidogo, the moon the stars and the planet rise and shine in your eyes, you are prettier than Paula Abdul and Vanessa Williams in their prime, kwenye giza la mgawo wa umeme ninachohitaji ni smile yako tu napata mwanga wote ninaohitaji, amara outing kidogo mara closeness the rest is maji kufuata mkondo.

Ila uwe tayari kwa kibuti vile vile.

Upedejee mwingi unaweza kusomesha ukoo wa demu halafu ukaambiwa "hatukuwa na mkataba" lol
 
tatizo lako unaoenekana unapiga sana masterbation...imafanya unakuwa muoga kwa mashori.....

wewe tafuta pesa watakuja wenyewe hizo mbinu unazopewa sijui mpelekee ua jekundu,mtoe out utakuwa unakula za mbavu kila siku....

Ila akikupigia kelele za mwizi huyo hakufai na si mstaarabu lol.

kuna shori mboga saba nilimu aprochi kiutaratibu kwa mapozi kibao na mkoko wa kuazima....lol akasema kwa sauti kubwa "huyu kaka vipi" pale pale nikaona wacha iwe mbaya tu maana aliua sana.....nikajibu faster.."kama umejamba nisikuambie"?
....aliona noma na hivi alikuwa sista du.....
 
tatizo lako unaoenekana unapiga sana masterbation...imafanya unakuwa muoga kwa mashori.......

Apige nini? Hana hela huyu. Hicho kimshahara cha kufanya kazi internet cafe hakitoshi hata kununulia Revola....... Sanasana akiwa beach na kuona mapaja ya wazungu wakiota juwa "anapata mfadhaiko.... "
 
Duu mkuu inabidi kuweka uwongo unaofanana na ukweli na inabidi usimpe chance kabisa ya yeye kuongea wewe tu ndio uwe unaongea mkiwa pamoja ila ukisema kwamba umpe chance duu utakuwa na mtihani mgumu kidogo....Wewe mwaga pumba zako mpaka yeye mwenyewe akukubali.....
 


Hapo tu nimekubali sio mchezo naona kweli mambo unayaweza na jamaa nadhani atafanikiwa kwa mawazo yako haya mazuri na najuwa haya uliyompa akifanya basi ataleta majibu hapa jamvini!!
 
One month huko si kutongoza ni kutaka kuoa kabisa , Yaani inahitajika kama kuna mistari inatumika ,sasa kuna watu hapa wanasema siku hizi mistari haifai , ikiwa una feza tu inatosha ,jamani fedha nayo imeshindwa kununua mapenzi , maana ukiwa na fedha utaangukia kwa machangu doa ambao wao wanaganga njaa kwa kuuza miili yao ,lengo langu halipo kwao ,nipo na wale wa geti kali mbwa mlangoni .mlinzi na gobore na wenyewe wanakuwa educated hivyo wanakuwa na ka akili flani kuwa mapenzi ni jambo baya kwa wakati huu ,yaani wale waliokuwa educated vipi unaweza kuwatia kapuni.
 
Naomba kuwauliza eti vipi unamtongoza mwanamke ? Kuna mbinu zozote au ustadi wa kuweza kuwin msichana mzuri mtaani au kazini ? Au kwenye diskoparty ila sio kwenye baa ingawa naweza pia kuelezewa ka kunahitajika kaufundi ?
Kuwa MKARIMU, usiwe na haraka, huo waweza kuwa ni mradi wa muda mrefu kidogo,wakati mwingine hata miezi sita au zaidi, kama Mtoto ni wa nguvu.

Usijisogeze kwake mara kwa mara bila sababu za msingi.

Jifanye kumwona kama vile ni mtu wa kawaida.

Kwa kufanya hivyo, ataanza kunote kitu tofauti kwako kwa kujiuliza mbona wewe uko tofauti na wengine kwa maana ya kutobabaika naye.

Mzee hapo njiwa lazima ataanza kujisogeza kwenye mtego.

Ataanza kula punje za pembeni, mara huyo ndani ya TENGA.

Sheikh weye wavuta kamba tu.......

NJIWA NDANI YA TENGA.
 
Ikiwa ni miezi bora basi ,duh kuna mmoja alisema mwezi au miezi mitatu wewe unasema sita,inaonyesha itakuwa mwenye kusubiri kudondokewa na si mwenye kujua kutongoza ,aisee kumbe mambu ni makubwa namna hii ,miezi sita ,pengine hata wazee wake itabidi niwajue.
 
miezi sita labda demu wa kuoa lakini hawa wa kwetu,mingi sana,sanasana anaweza kukuona ****,watu wanafanya for one day ikizidi sana a week
 
Mh nakumbuka niliwahi kuandikiwa barua ya kutakwa uchumba yaani kaka alitumia kila aina ya rangi kwa ustadi mkubwa. Na hapo tulikuwa Chuo kikuu duh watu tumetoka mbali.
 
Duh, kwa mtaji huu wenye wake zetu wanao 'interact maofisini, vyuoni nk. tutasalimika kweli? Au tutumie arts gani ili wake zetu wawe hawalainiki kirahisi mbele ya chatu?
 
...ukishasema, "...nataka kukuoa!" ushamaliza maneno yote,... na kama haamini, within 3-days mvishe pete ('Probation'-Tag)
 
...ukishasema, "...nataka kukuoa!" ushamaliza maneno yote,... na kama haamini, within 3-days mvishe pete ('Probation'-Tag)
ndio gia yenu hiyo siku hizi, unamvalisha pete halafu baadaye unamtosa.
 
Kama ni MUOAJI.Hizo ni zetu wazee wa zamani.
 
...ukishasema, "...nataka kukuoa!" ushamaliza maneno yote,... na kama haamini, within 3-days mvishe pete ('Probation'-Tag)

Haha babu wewe utakuwa player si bure! Una mshindilia na msumari wa ndoa na unanunua pete ya cubic zirconia.
Inanikumbusha miaka michache nilienda Zenji rafiki yangu kule akaniambia wanadada wa kizenji ukiwatongoza hivi hivi lazima wakutose ila wewe mwambie unataka kumuoa. Mwiba kutongoza miezi sita au mwaka poa tuu lakini kuwa na back up plan.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…