Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,582
Na sijui kwa nini mishahara kwa watumishi wa umma hatujaongezewa yani No any changes
Means of living KISHETANI
Na sijui kwa nini mishahara kwa watumishi wa umma hatujaongezewa yani No any changes
We ni mtumishi wa nini kwaniWatumishi wa UMMA wanatia huruma mno, mishahara haikutani na madeni wamejaza daftari kwa mangi
hahahaaa haya mkuu hongera sanaUmetoka...
Npo hapa nakata kiu...
maisha yamebana hasa. Ila nitakuwa wa mwisho kufurahia Watanzania wakiishi kwa ufukara/ufakiri. Moja ya jambo la kulipigania ni ustawi wa maisha ya watu. Wale ambao wana maisha duni ni kuwapigania ili waishi maisha mazuri.Mshahara unauliziwa tarehe 22?kweli maisha yamebana,watu walikuwa wanakaa mpaka wiki ya kwanza ya mwezi mpya ndio anacheki salio.
Nadhani hiyo wa kulaumiwa ni wapanga mishahara ambao kiuhalisia inawezekana walifanya makusudi au walikosea.NAONA WAPIGA DILI MISHAHARA HAIKUTANI. WALIZOEA SAFARI NA VIKAO KULIPWA SITTING ALLOWANCE. MSIMLAUMU MHESHIMIWA WETU JILAUMUNI KWANINI MLIZOEA VYA BURE BURE MTU ANAINGIA KWENYE KIKAO ANASINZIA ANAENDA KU SAINI HELA. NJOONI HUKU MTAANI MSINZIE MUONE KAMA KUNA KU SAINI... RAISI TUNYOOOSHEEE TUNYOOOKE
Kama kunawatu wameshawahi kuongea neno hapa jamii forum tena lenye mantiki ni wewe.watumishi wa umma wanalalamika kwasababu hali ya maisha haiemlndani na mishahara yao ila mwanzo allowances na safari zilibeba mzigo huu wa lawama .kuna jamaa yangu anafanya serikalini ananiambia ni mwaka sasa hajaenda hata kibahaNadhani hiyo wa kulaumiwa ni wapanga mishahara ambao kiuhalisia inawezekana walifanya makusudi au walikosea.
Haiingii akilini mishahara ambayo mfanyakaz wa serikali alikua anaingia. Unakuta mtu ni Mhandisi kwa mfano anaajiriwa mshahara wa kuanzia ni laki4 au5 kwa mwezi kabla ya kodi. Lakini still ana weza kuishi. Sababu kubwa ikiwa ni hizo posho na safari. Lakini nafikiri iliwekwa midogo na kuweka provision ya posho kwa nia njema ili kupunguza mfumuko.
Lakini kama posho zikifutwa na safari zikawa kama zilivyo sasa, hakuna namna mishahara lazima iwe karibu sawa na sekta binafsi. Huo ni ukweli ulio dhahiri. Nje ya hapo huwez kusurvive labda kama ni fisadi. Ila kwa mshahara halali wa serikali kama ulivyo, huwez kulipa ada wala kupanga nyumba.
Hivyo ni budi mishahara ikaongezwa na posho kufutwa au kuacha mishahara hiyo mifogo na posho zake. Mishahara ikiongezwa na posho kufutwa, watumishi wa umma wataweza kujiongeza kwa kukopa na kubakiza balance ya mshahara wa kununua mahitaji ya familia, lakini mkopo ukatumiwa kuanzisha vijimradi vidogo vidogo. Kwa hali ilivyo, watumishi wa umma wanasaga meno. Hali ngumu.
Ahaa mlizoea kugawana kodi zetu ovyo na kusafiri kwa kodi zetu,mpaka wewe unauluzia mshahara mzee wa kutumia pesa zetu weekend pole sana ndiyo maisha,Safari ni safari wa mbele nyuma na wanyuma mbele,mtumishi wa uma wengine sijui watumishi wa nini?Habari,
Watumishi vipi mshahara wa November umeshatoka au bado?
Ushatoka tayrariNa sijui kwa nini mishahara kwa watumishi wa umma hatujaongezewa yani No any changes
Muulize aliyekuajiri au mhasibu wako ana majibu.Habari,
Watumishi vipi mshahara wa November umeshatoka au bado?
Mshahara sisi huku kisarawe tumevuta jana.Huku kwetu tunasubiri sana maana kuna watumishi wenye vyeti feki waliambiwa kuwa asiyewasilisha orijino copy ya cheti cha kidato cha nne watafutwa kwenye pay roll...sasa huyu bwana amesidia kuuliza hapa...kama umetoka semeni jamani kuwa watu wanastaafu mwakani ila wapo kwenye hiyo list.