Miezi kumi unaishije
Kazi bila hela babuuu?fanyeni kazi
Habari watumishi Vp Mshahara wa November umeshatoka au bado?
Jamani umetoka au bado? Mtujibu kwenye sim bank
Pole sana mkuuAisee njaa imetahamaki,nawatamani sana mnaoulizana mishahara nipo kitaa sina hata buku.
Tayar kacheze na ATM card yakoJamani dk. John na dk.beno ndulu hawana fedha,hawataki kuwa wazi wanadhani wakisema tutawacheka nyongeza ya?mshahara bado ni ndoto
......unamaanisha Makonda kuwaita ninyi watumishi wa serekali kuwa ni majipu sugu yupo sahihi???
........huh?