Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 374,499
- 867,356
Huu mwezi unaoisha leo umeingia kwenye historia ya umwagaji mkubwa wa damu zisizo na hatia Tanganyika... Kuna siku utakuja kutengenezewa sinema na documentaries
Kuna mengi mabovu na ya kutisha na kuogofya sana yaliyotokea November bado hayajawekwa wazi.. Naamini siku si nyingi yatafunuliwa na kutonesha upya majeraha ya Tanganyika
Ni mengi mno yametokea kwenye huu mwezi hivyo bado utabeba historia muhimu ya Tanganyika huko mbeleni
Wote waliopata madhila ni kuanzia mwaka mmoja mpaka 50.. Kwahiyo tuna kizazi cha miaka 100 kitakachoishi na hii trauma
Wajane
Wagane
Yatima
Watakaobaki na makovu ya majeraha
Watakaobaki na vilema vya kudumu nk
Mwisho wa jambo ni mwanzo wa jambo.. Kesho ni December mosi.. Kwamba ni mwanzo wa mwezi wa December itakayobeba mambo mengi sana
Maandalizi ya D9 siku ya uhuru wa Tanganyika ndiyo yanaangaliwa zaidi.. Si kwa ajili ya sherehe za uhuru la hasha maana zimeshafutwa..Bali ni kwa ajili ya ukombozi wa pili wa Tanganyika
Harakati ni nyingi kwa pande zote mbili GenZ na serikali lakini kuna kila dalili upande wa pili unaelemewa
Sasa kuanzia kesho kila kila dakika na kila saa vitabeba maudhui na kutengeneza historia ya kukumbukwa kuelekea D9
NB: kuna kila dalili mchezo ukaisha mapema sana siku hiyo kwakuwa kuna timu inaweza isiingie uwanjani ama iingie lakini wachezaji wakatae kucheza
All in all kwaheri November ya damu
November ya nyeusi
November ya mateso
Umepata jina baya kwasababu ya matendo ya binadamu..
Hatutakusahau..!