Askari Muoga
JF-Expert Member
- Oct 22, 2015
- 6,112
- 4,663
askari na mshahara
askari na mshahara
umekutana na nini mkuuBado wanatoa kwa mafungu maana nilichokikuta huko, unaweza zimia kwenye ATM
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwisho wa mwezi ukoje?ukipata mshahara kabla ya tarehe ya mwisho wa mwezi ni privileji tu,ila si kanuni
unajua tar 23 mwez ulio pita mpka tar 23 mwezi huu ni siku ngp?ukipata mshahara kabla ya tarehe ya mwisho wa mwezi ni privileji tu,ila si kanuni
Mueleze mkuu na akueleweunajua tar 23 mwez ulio pita mpka tar 23 mwezi huu ni siku ngp?
Hizi fake ID wakati mwingine zinasadifu akili zetuukipata mshahara kabla ya tarehe ya mwisho wa mwezi ni privileji tu,ila si kanuni
suala la kulipa mshara kabla ya tarehe 30,au 31 au 28 lilianza lini kwa GN ipi
ni mitazamo tu usijenge chukiHizi fake ID wakati mwingine zinasadifu akili zetu
Jina lako linanikataza kukuelekeza Maana hutokubali kubadilikasuala la kulipa mshara kabla ya tarehe 30,au 31 au 28 lilianza lini kwa GN ipi
Isikusumbue kichwa, ni hesabu ya kawaida tu. Hata mishahara ikitoka tarehe 30 mwezi huu hadi tarehe 30 mwezi ujao, duration ni siku 30. Pia ikiamuliwa kutoka tarehe 14 mwezi huu hadi tarehe 14 mwezi ujao, bado duration ni zile zile siku 30. Usiumize kichwa kwa hesabu ndogo ndogo, chapa kazisuala la kulipa mshara kabla ya tarehe 30,au 31 au 28 lilianza lini kwa GN ipi
ok nashukuru,ila nikukumbushe suala la kulipa kabla ya tarehe ya mwisho ya mwezi si suala la kisheria,kumbuka wakati wanaanza kulipa tar 25 kwa mwaka huo wa fedha mshahara uliopita ulipokelewa tarehe 31.so mwajiri kikanuni anadai siku zisizo pungua 3 km mwezi utakuwa umekwisha tarehe 28.au siku 5 km mwezi unaisha tarehe 30.
Isikusumbue kichwa, ni hesabu ya kawaida tu. Hata mishahara ikitoka tarehe 30 mwezi huu hadi tarehe 30 mwezi ujao, duration ni siku 30. Pia ikiamuliwa kutoka tarehe 14 mwezi huu hadi tarehe 14 mwezi ujao, bado duration ni zile zile siku 30. Usiumize kichwa kwa hesabu ndogo ndogo, chapa kazi
Mshahara mpaka sasa vipi?Kuna afande namdai, hivyo naombeni mnijuze kama ushatoka ili nikadai pesa yangu jamani.