Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

60bcf98031e1abb997543ad6f4c218c2.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka namba yako ya Tigo pesa nione namna ya kukusaidia kama hali ni tete sana.
Ila sikunyingine usitegemee kutoka kimaisha kwa mshahara wa Utumishi wa umma, huku ni sehemu ya kujitolea zaidi, Fanya mambo mengine kujipatia fedha, Utumishi wa umma iwe ni usamaria tu.
 
Mshahara tunatoa kialifapet za mkoa
Yaan
Arusha
Dar
Iringa
.
.
.
Km wewe upo nanjilinji mtwara subur wiki ijayo ijummaa[emoji1] [emoji1] [emoji3] [emoji111]

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom