Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Vipi Mshahara wa mwezi Agosti ushatoka?

Ndo tatizo la JF,baadhi ya members huwa hawako serious,mtu aondoke kwake aende NMB akakute hamna kitu na mbaya zaidi hata hela iliyokuwemo kwenye simu imeisha kwakuangalia mshahara kama umeingia kwani anakua anaonekana kama mtu ambaye ana njaa sana ofisini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani si ana njaa kweli mkuu au?

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Pamoja nakua na njaa,anashindwa kuiweka dhahiri kwasababu ya aibu hivyo kuishia kuchunguliachungulia kwenye simu na salio likiisha anaamua kufuata maneno ya humu anaenda NMB,akifika nako hamna hela,hali inazidi kua tete,tuwahurumie jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pamoja nakua na njaa,anashindwa kuiweka dhahiri kwasababu ya aibu hivyo kuishia kuchunguliachungulia kwenye simu na salio likiisha anaamua kufuata maneno ya humu anaenda NMB,akifika nako hamna hela,hali inazidi kua tete,tuwahurumie jamani.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah sawa mkuu nimekuelewa Poleni sana ndugu.

In white-collar crime, there are ink stains instead of bloodstains.
 
Ndo tatizo la JF,baadhi ya members huwa hawako serious,mtu aondoke kwake aende NMB akakute hamna kitu na mbaya zaidi hata hela iliyokuwemo kwenye simu imeisha kwakuangalia mshahara kama umeingia kwani anakua anaonekana kama mtu ambaye ana njaa sana ofisini.

Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia NMB yako kisha Njoo hapa tena

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom