Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba?

Watakufuata kukudai Kodi ya jengo nasikia buku kila mwezi wale wa maghorofa Elfu 60 kila floor na waviji ghorofa kama uliamua ukajenga ka room ka moja nawe kafloor Kako unakalipia 60 hahahaah Raha sana.
Hii haina tofauti na anaelipia chumba Mwananyamala pamoja na kujitoa hifi kuondoka na na kodi ya nyumba.
 
Nimebaki nacheka tu.
 
Units 27 kwa mwezi kama ni taa peke yake sawa but pasi, friji, TV etc sidhani kama utatoboa mkuu...
 
Kwa bahati mbaya sana tuna viongozi muingu watu na ambao wanadhani they know everything. Hii kitu ilitakiwa kwanza wachague mikoa miwili wafanye majaribio ili kuona how it's going to work and the challenges encountered...
 
Viongozi + wananchi mbumbumbu. Wananchi wasipokuwa mbumbumbu, hakuna jeshi lenye uwezo wa kuwashinda.
Kwa bahati mbaya sana tuna viongozi muingu watu na ambao wanadhani they know everything. Hii kitu ilitakiwa kwanza wachague mikoa miwili wafanye majaribio ili kuona how it's going to work and the challenges encountered...
 
Usimkimbie jamaa yako Sabaya! Huonekani kabisa siku hizi ukimpigania humu jukwaani! Usikate tamaa mkuu.
 
Huko kote watapita kukusanya Kodi wamejipanga sawasawa kuhakikisha kila mtanzania mwenye nyumba analipa iwe kwa kupitia Luku au vinginevyo. Subiri muda mfupi tu.

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
BADO maswali ni mengi sana.......hivi ni kila ukinunua au au ni once kwa mwezi.....nna mashaka kwa sasa
 
watt 300 zote bei gani mkuu..?
 
Unadhania wao ni wajinga kiasi hicho, hata ukae miezi sita hujanunua, siku ukinunua wanakata deni lote la miezi ambayo hukununua!!ni kama ile service charge ilivyokuwa!!kwa mwaka lazima ukatwe , 12, 000 kama ni nyumba ya kawaida!!
kwa mwaka kumbe unakatwa 12000 tena..?
 
Mkubwa ulifanikiwa kufunga? Nahitaji kupata abc.
 
Mwenye huhitaji WA BETRI BORA zilizotumika kwny minara anicheck hakikisha unahitaji kweli na Una hela Sitaki usumbufu aisee 0629945110
 
Kwa anayehitaji umeme wa solar utakaokidhi mahitaji yake bila matatizo anicheck whatsapp kwa namba 0626409973
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…