Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 972
- 1,163
Hivi ile Kodi ya jengo au ardhi tunayolipa Ni tofauti na hii wanaiyoitangaza?lipa kodi, au acha kutumia umeme.
SawaND OHYO HYO KAKA1 MFUMO TU UMECHANGE
Kama nitakatwa buku kwa mwezi kwa mwaka Ni Tsh 12,000/=TU kwangu ni Bora kuliko kulipa Elfu 30 kwa mwaka bado na makorokoro meeeengiLIPIA TU KAKA HAMNA NAMNA.. 😅
😂😂😂😂lipa kodi, au acha kutumia umeme.
Si unawasha bulbu mbili tu.Mimi nimeshanunua mitambo miwili ya solar! Watt 100, na watt 200! Muda si mrefu naipandisha juu ya bati. Unit 27, nitakuwa natumia mwezi mzima kwa ajili tu ya pasi, tv na friji!!
Hakuna namna. Itatulazimu kupunguza matumizi, ili kujiepusha na tozo ziso na ulazima.
Watt 10 inawasha bulb 10 zenye mwanga mkali kabisa! Unaangalia tv, unasikiliza sub wofer, unachaji simu! Muhimu ufunge pia battery ya N 100!
bei yake ni sh ngap mkuuWatt 10 inawasha bulb 10 zenye mwanga mkali kabisa! Unaangalia tv, unasikiliza sub wofer, unachaji simu! Muhimu ufunge pia battery ya N 100!
Hiyo ya watt 200, ndiyo bado sipata mwongozo wake. Ila itakuwa ina nguvu mara mbili ya hiyo ya watt 100! Tupo tu kumchallenge Dr. Mwigulu Nchemba na Tozo zake zisizo eleweka.
Kama nitakatwa buku kwa mwezi kwa mwaka Ni Tsh 12,000/=TU kwangu ni Bora kuliko kulipa Elfu 30 kwa mwaka bado na makorokoro meeeengi
Mkuu kuanzia sasa naanza kuwa mbahilii rasmi nitanunua Mara 1 TU kwa miezi 2 . Nitapika kwa umeme Mara 2 kwa wiki.nadhibiti matumizi ya friza maana ndilo makubwa sanaHaitakuwa rahisi hivyo. Kwamba ikifika 12,000/= wanaacha kukukata? Hauijui serikali inayotafuta pesa kwa nguvu. Labda uwe unanunua umeme mara 12 tu mwaka. Wengine tunanunua hata 50 kwa mwaka.
Watu wana maswali ya msingi. Je itakuwaje kwa watu ambao wana nyumba moja yenye mita zaidi ya moja?
Laki 6 kwa solar ya watt 100 ikiwa comlete na ufundi. Anaye niunganishia ni mtu wangu wa karibu.bei yake ni sh ngap mkuu
Unadhania wao ni wajinga kiasi hicho, hata ukae miezi sita hujanunua, siku ukinunua wanakata deni lote la miezi ambayo hukununua!!ni kama ile service charge ilivyokuwa!!kwa mwaka lazima ukatwe , 12, 000 kama ni nyumba ya kawaida!!Mkuu kuanzia sasa naanza kuwa mbahilii rasmi nitanunua Mara 1 TU kwa miezi 2 . Nitapika kwa umeme Mara 2 kwa wiki.nadhibiti matumizi ya friza maana ndilo makubwa sana
Hata nyumba iwe haina umeme, kodi ya majengo utalipia tu kwa utaratibu ule wa zamani, wa karatasi za ankra kupitia serikali za mitaa!!, kama una mita zaidi ya moja kwenye kiwanja kimoja , unatakiwa uende tanesco, uwaambie ni mita ipi ndio itakayokuwa inakatwa kodi hiyo.Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri!
Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja? Je, hili mliliona au ndo kila luku mnalamba! P
Acha nitambe na solar yangu msinifuate kudai makodi yenu ya nyumba
Hii wanayotangaza ni kodi ya majengo, ni kwa ajili ya majengo yote, ile nyingine kodi ya ardhi sio kwa wote bali ni kwa vile viwanja vilivyopimwa tu vyenye hati, itaendelea kulipwa kwa utaratibu ule ule.Hivi ile Kodi ya jengo au ardhi tunayolipa Ni tofauti na hii wanaiyoitangaza?
Bei rahisi mkuuLaki 6 kwa solar ya watt 100 ikiwa comlete na ufundi. Anaye niunganishia ni mtu wangu wa karibu.