Mtanzatozo
JF-Expert Member
- Mar 2, 2016
- 972
- 1,163
Vipi matumizi ya solar power na makato ya kodi ya nyumba? Serikali naona imeamua kufanya jambo lenye faida huku likiwa na uonevu uliokithiri!
Hivi inakuaje kwa mmiliki mwenye vijumba vidogo mfano vitatu kwenye hati moja ya nyumba! Ambayo alirahisisha kwa ku-request meter luku zaidi ya moja? Je, hili mliliona au ndo kila luku mnalamba! P
Acha nitambe na solar yangu msinifuate kudai makodi yenu ya nyumba