Vipi kama ex aki ......!!

umeona Asprin kanitukania hapo juu!
daaadeki!
ujue wanaume huwa wanaamini wanawake ni vilaza or sort of!
kimsingi wanasahau namna hedhi na uchungu huwa zinatengeneza nini zaidi ya ujasiri!
kutana na wachawi woooote ila sio mchawi mwanamke!

kinachoshangaza.. na ubaradhuli wote mlio nao bado mnaongoza kwa wivu. sijui nani kawalogeni.
 
Last edited by a moderator:
hahahahahahahahahahahahahahaha NGU!NGUuuuu!
hadi raha!
how does it feel kuishi na ex wako tumboni miezi tisa,kumuona ukinyonyesha?kumuona ukipeleka nasare?kumuona ukiozesha?kumuona mpk ukamilifu wa dahari!
wewe na mahaba yooooote huthubutu.kuniletea ex wako ndani!
nani sasa anayeishia kusemea kweny blanketi?
 
sisi hatusemi nyie ni vilaza ila haya mambo kila mtu anaujanja na jeuri yake. Jeuri anayoitumia ex wangu kumtoroka mme wake na kuja kwangu ndiyo jeuri anayoitumia mke wangu kwenda kwa hawala yake.

Ewaa snowhite atakuwa amekuelewa sasa. Kwamba wakati mi nalea mtoto wa mwanaume mwenzangu, kuna mwanaume ananilelea mwanangu pia. ngoma droo, weka wivu pembeni.
 
Last edited by a moderator:
katika mada ambazo zilishawahi kunigusa hii n ya pili ama ya tatu sasa, japo sizikumbuki vizuri zile mada but akili yangu inarudi nyuma sana kwa nyuzi kama hizi aise!
 
Simkumbuki hata mmoja kwani hakuna wa kumfikia huyu alienioa
 

dah! Nmecheka sana ulivyorusha hilo kombola kujibu mashambulizi.
Hilo wala halina shida kwangu hyo raha itaishia moyon mwako lakn huwez kuionyesha kwangu hadharan kwanza utakuwa kwenye kifungo cos unaogopa nikijua tu tayar nyumban hapatakalika, halafu utakuwa umejidhalilisha mbele ya wanawake wenzio na hata wazaz wako utakuwa umewapaka matope. Hvyo utakuwa kwenye wakat mgumu wa kuizuia hyo siri isivuje. Ila mm naweza kumzalisha ex wangu na kila mtu akajua na bado nikaonekana ni kidume zaidi na mtoto ntamleta nyumban na utamlea ww mwenyew. Umeona hapo mkuu
 
Ewaa snowhite atakuwa amekuelewa sasa. Kwamba wakati mi nalea mtoto wa mwanaume mwenzangu, kuna mwanaume ananilelea mwanangu pia. ngoma droo, weka wivu pembeni.

hahahahaaaa! Hapa ameelewa ukweli wa mambo
 
Last edited by a moderator:

Hahahahah we mwanamke umeua walah....wao wanaishia kuibana tu gesti hausi na kuvutia picha
 
katika mada ambazo zilishawahi kunigusa hii n ya pili ama ya tatu sasa, japo sizikumbuki vizuri zile mada but akili yangu inarudi nyuma sana kwa nyuzi kama hizi aise!
Zimekugusa hadi umekuwa speechless
 
Last edited by a moderator:

Aiseeeee....huu uzi na ufungweee...
 

Acha kulialia mtoto wa kiume! Songa mbele mapenzi yapo tu kama ulimpata huyo alokumwaga amini utampata mwingine bora zaidi yake....enjoy your life dude. You only live once..no regrets....
 

Hahahahahaha we ni noumer. hapa asisome my wife wangu asije akapata hasira akanibwengea makwenzi kabinti kangu nlikomletea.
 
kinachoshangaza.. na ubaradhuli wote mlio nao bado mnaongoza kwa wivu. sijui nani kawalogeni.
tunajaribu tu kuwaonyesha how best we are in playing this game!
maskini mnaishia tu kupewa kiatu cha dhahabu kama messi vile huku masataraika wenyewe beki ya croatia tumetulia tuliiiiiiiiiiiiii!
 
Aiseeeee....huu uzi na ufungweee...

hahahahaaaaa! Khantwe ww unaonekana una wivu lakn huo ndio ukweli ww ukiletea mtoto wa nje kwenye ndoa yangu ni fedheha kwako na kwa wazazi wako watakulaumu kuwa umewadhalilisha na wataonekana hawakukufunda ila mm nikileta mtoto wa nje ndani ya ndoa ntaonekana niko vizr.
 
Last edited by a moderator:

When its over its over no turning back chief!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…