Vipi kama ex aki ......!!

Vipi kama ex aki ......!!

nianze kwa kujifunza,mwanamke ni mtu wa kubadilika muda wowote ule. mwaka na miezi 3 sasa tangu aliponiacha maumivu alioniachi hayaelezeki na mpaka muda huu sijaona wa kufanana nae japo alikuwa wa kawaida lakin kwa upendo niliokuwa nao kwake natamani kurudiana nae,na nileo nilikuwa nawazia hilo ila sijui nianzie wapi.lakin nimempenda sana,ushauri wangu kama uko na mpenzi wako wakati huu,usijaribu kamwe kufikiria kumuacha taabu yake hasimuliki nawaapien msijaribu.

Mkuu pole sana ...

Tupo wengi sana tuliotendwa na kamwe kutendwa hakutaisha,lakini kuna utam wake kwani maumivu yakiisha unaanza kujifunza kupitia kutendwa huko

Hata akina Mentor Himidini na mie tumeshatendwa sana lakini maisha yanaendelea tu!
 
Last edited by a moderator:
Huwa sijuti wala kuangalia nyuma, the past is gone and i have to focus for the future.

i dont keep memories, because its a stupid move.

Mkuu memory ni nini vile?
 
Mbona babu hana matatizo kabisa?

Sasa kinachokufanya umuogope nini?

Hili hata Kaizer ni shahidi!

Hivi mkuu kutuonjesha dawa hujainywa mwenyewe unaamnisha nini hebunkwanza jishuhudie mwenyewe
 
Last edited by a moderator:
Mkuu pole sana ...

Tupo wengi sana tuliotendwa na kamwe kutendwa hakutaisha,lakini kuna utam wake kwani maumivu yakiisha unaanza kujifunza kupitia kutendwa huko

Hata akina Mentor Himidini na mie tumeshatendwa sana lakini maisha yanaendelea tu!

ni kweli maisha yanaenda,fikiria kila mtu ana ndoto za kuwa na ndoa,na kwa bahati ukapata mtu atakae timiza ndoto zako,mkapatana wewe na yeye kuwa kitu kimoja lako ni lake na lake ni lako,inakujatokea mtu anayavuruga hayo mapatano na kuyafutilia mbali,niambie utajisikiaje? ni kama umepiga hatua 3 mbele halafu anatokea mtu anakurudisha nyuma hatua kumi! hapana yasikie tu. na lawama nawapa wanaume tu hakuna mwingine ni sisi tu.
 
Hapo kwenye bold sijakuelewa kabisa mkuu!!
 
Eiyer ...niliwahi sika sehemu mtu akisema "don't look behind..you're not going that way"
 
Last edited by a moderator:
Mkuu inaonekana wewe ulikuwa hatari kwenye haya mambo eehh!!

Hapana mkuu, sina sifa ya kuwa hatari katika maswala hayo. Hata hivyo, najuta kuyajuaa mapenzi mapema..!!
 
Back
Top Bottom