Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

boro yan jambazi kuu....[emoji87] [emoji87] ..mbona nifah alikoma...[emoji87] [emoji87] [emoji87] ...sorry.!!!.kumbe ni cheupe...[emoji86] [emoji86] ..
tatizo akili imeshahama ray ni ze bold na cheupe ni nifah.....[emoji1] [emoji1] ..(just kiding)...
 
READERS DISCRETION IS STRONGLY ADVICED
umenikumbusha mbali sana..miaka ya 90 mnet chanel kupindi movie inakaribia kuanza lazima wakuletee tangazo hilo..[emoji1] [emoji1] ...
Mnet.!! Nikisikiaga M-net huwa naashum Huyo mtu ametokea Morogoro au amekulia huko.. Miaka ya 90 wakazi wa Moro waliinjoi sana Mnet bure bure miaka ile..
 
Tatizo lako wivu mwingi na kususa wanaume hawasusagi
nilikuwa nawafurahisha vijana wajione vidume pia, mwwenywe wajua vile siwezi geuza shingo kulia wala kushoto hata apite sepetu hapo, na wajua jinsi ninavojulia kukukaanga na kukugeuza kama chapati kisha nakukunywa kwa mchuzi wa pweza,, utamu huo nawezaje kuukosa hujui kuwa ww ni zaidi ya cheupe wa ray?, come on baby
 
Waoooh ndo maana kwako sipindui aisee
Nami nilitaka kushangaa nan kakuroga mapema yote hii jamani hadi unaacha utamu wako
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kujibadili ww kama KINYONGA
Hapo sidhan kama Clkey atapindua, maana na fakalava nae anatupia [emoji102][emoji102][emoji102]
 
utamu huo hata kaburini nitaenda nawe, nashangaa ray anajipeleka jela anaacha utamu uraiani
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Unajua kujibadili ww kama KINYONGA
Hapo sidhan kama Clkey atapindua, maana na fakalava nae anatupia [emoji102][emoji102][emoji102]
Mwenzako inabidi tu nirudi kwa mai swthat potato wangu
Mwanamke gani ataambiwa maneno matamu hvyo halaf apindue
Mwenyewe hapo umeshindwa nchombeza
 
siku zote nakuambiaga vijana hawajui mapenzi hawana ulimu mtamu wanataka kulelewa tu hao, usidanganyike mamito
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom