Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Mbali aisee ngoja tusubiriJumamosi Mkuu..
Mbali aisee ngoja tusubiriJumamosi Mkuu..
Naona the Board wameamua kutumia wanaharakati kupinga sheria ya mitandao kwa kutumia mawakala wao (nimeisikia dira ya dunia BBC).. ukiunganisha dot Azizi na Mengineyo wanahusika na vyombo vya habari. Ndo the next mkakati!Mdogo mdogo! Tuombe kheri..
Ndo maana yake,Sasa huyu dogo Ray namuonea tu huruma anakuwa double agent bila kupendana





Shida ni waigizajiI wish kama tungekuwa na producers na bongo movie wazuri.
Watengeneze Movie ya namna hii..
Ni nouma sana hii kitu
Post au episode??Tafadhari The bold naomba post namba ya ep 4 na 5 kama tayari
Bado?Natafuta episod ya sita jamaniiiiiii siooni The bold
Hapo ndo ile policy ya TRUST NO ONE inahusikaSafi Bro.
Mm mashaka yangu juu ya Baba bite yalikua sahihi.
Mzee wa skafu za Bendera ya Taifa mh Lame-KEYDah! Hii kitu inazidi kuwa nzuri....Nimependa 'mitupio' ya waziri Wangwe
Au mkuu tukaigize sisi..! We already have the scripts from The BoldShida ni waigizaji



Au mkuu tukaigize sisi..! We already have the scripts from The Bold![]()

Shukrani sana Mkuu! Mungu akuongezee maradufu..Tatizo namba mkuu ctakunywa bia leo au kseho ili nikutumie ww
Niko tayar ila sio UHUSIKA WA BABA BITEAu mkuu tukaigize sisi..! We already have the scripts from The Bold![]()




Mm ntakuwa yule mama wa kinyarwandaNiko tayar ila sio UHUSIKA WA BABA BITE![]()
Pale kwenye Kuigiza,director aniweke uhusika wa RAY
Mm ntakuwa yule mama wa kinyarwanda
Nenda Uzi namba 1115 kama sijakoseaNAOMBA LINK YA KUINGIA EPISODE YA 5 @bold