Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Heshima kwako Mkuu, Hongera kwa simulizi tamu sana.

Naomba kujua Episode ya 5 ipo katika post namba ngapi?

Battle yetu ambayo nilikuambia bado inaendelea. Mimi na My waifu.
Episode 5 iko post # 1115

Hahahahah! Inabidi tuendeleze figisu ulipize alivyokuova teki thread nyingine..
 
Wakuu,

Kutokana na sababu za kimaadili na kujaribu simulizi hii iendelee pasipo mushkeli.. Inanipasa kubadili baadhi ya majina ya wahusika..

Wahusika hao na majina yao ya sasa ni kama ifuatavyo, pasipo kutaja majina yao ya awali;

1. Waziri - Mhe. Charles Wangwe

2. Mwanachama wa The Board aliyekuwa mbunge na kujiuzuru miaka michache iliyopita - Khalid Mohammed

3. Askofu mwanachama wa The Board - Askofu Eliyah Kamei

4. Kampuni ya Utafutaji mafuta Morogoro - Quebec Energy.

Kwahiyo, kuanzia Episode hii ya 5 ambayo nimeiweka tayari nimebadilisha majina ya wahusika hao na na episode zote zinazofuata wahusika hao watafahamika kama inavyoonekana hapo juu..


Samahani kwa usumbufu!

Shukarani..
Na cheupe j??
 
Mkuu JamiiForums naomba unisaidie tena kuweka link ya episode 5 pale mwanzoni page ya kwanza post # 1.. episode 5 iko hapo juu post # 1115
Asante sana mkuu The Bold, hakika Nifah hakukosea kuchagua 🙂 thanks again... But mkuu, kuna kitu hapa! Hahaha.. anyway, tuyaache hayo.. Let us process iendelee. Kweli Magu kiboko.. Na zile sherehe zao walofanya wakijua wanampanikisha then Mag through the Bold ameamua kuwapa intro 🙂 Wabheja sana mkuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom