Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Ah ah ah ah baba bite japo alikuwa anahisi kuwa ray anatumiwa tuu ila anakuwa na wasiwasi ndio alihama fasta fasta..

Ningekuwa na mkwanja ningetoa series aisee unakodi madirector hata korea ..

But wasiwasi ni kwamba hao wanajiita usalama wa taifa ni vipi wanashikiriana na watusi na hii story inaukweli ukweli flan ..maana mkuu nchi ya kwanza kutembelea n rwanda..!!

Uzur wa hii story unapanga kitafwata hiki then unakuta sio,nitofaut kabisa na BONGO MOVIS ikianza tuu unajua mwisho wake..

Big up jajusi thr bold
 
C naongea kikwetu tuu tatizo nn bwana
_20170111_215945.JPG

Uwe na pua kama hii,kwa mujibu wa wajihi wa The bold aloueleza
 
View attachment 458506
Uwe na pua kama hii,kwa mujibu wa wajihi wa The bold aloueleza
Vita ni ngumu zaidi ya Hadithi wakuu.
Tujiuloze mara 2, miaka 40 ago, wakamuweka wanaemtaka 10yrs ago. Wamefanikiwa mangapi?
Hii ni zaidi ya vita.. ningekuwa JP, ningeshut tu. Hakuna namna... hata kama najua kesho nitakufa, Mungu atanirehemu.. lama yupo 🙂
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom