Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
- Thread starter
- #1,021
Hahahahahah
Kama ni kwa ahadi ya kuwekewa leo muendelezo nipm kabisa ila jioni jioni
Episode 5 kesho! Ila nakuPM najua wewe wangu huwezi kunitupa

Hahahahahah
Kama ni kwa ahadi ya kuwekewa leo muendelezo nipm kabisa ila jioni jioni

Hhahha kichaa wewe, tumeruhusiwa lakini wacha tufyatueHahahaha nililala mapema bwana saa nne mbona
Ila ww ss km kuku
Mwambie wf apunguze atakuwa anawafyatua wengi ss
Jidanganye ssHhahha kichaa wewe, tumeruhusiwa lakini wacha tufyatue
Usitufanyie hvyo aisee![]()
![]()
![]()
Episode 5 kesho! Ila nakuPM najua wewe wangu huwezi kunitupa![]()
Aahhh tabia mbaya hiyo sasa utakuwa mama mdogo gani unarohombaya hvo?Jidanganye ss
yaani mm hata pampers ctakusaidia
C unafata kauli za kufyatua fyatua tuuuuuuuiiAahhh tabia mbaya hiyo sasa utakuwa mama mdogo gani unarohombaya hvo?
teh teh tohoo umeniacha hoi ndugu yangu yaan ni sawa na unataka kubanja halafu unajikakamua usibanje..soma mkuu usijipe mipuresha ya bureSianzi kusoma mpaka nione neno ...MWISHO najikaza kinoma![]()
Ombi limefanyiwa kazi mkuu..
usiwe mkaidi kwa wakubwa zako. hvo na ww fyatuua tuC unafata kauli za kufyatua fyatua tuuuuuuuii
Mkuu na wewe unasoma hii stori?
Kwani unafikiri wao mashetani mkuu??Akhuuu nan apate shida acha kananitosha haka kamojausiwe mkaidi kwa wakubwa zako. hvo na ww fyatuua tu
upate shida unamzaa mwenyewe?Akhuuu nan apate shida acha kananitosha haka kamoja
Nifah jmn,aya bwana Ila upendo wenu udumuHoney,nakuhitaji PM pls.
Njoo baby...am waiting![]()