Habibu B. Anga
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 6,557
- 25,749
- Thread starter
- #1,061
Shukrani Mkuu! Heri ya mwaka mpya kwako pia..Heri ya Mwaka mpya the Bold..
Shukrani Mkuu! Heri ya mwaka mpya kwako pia..Heri ya Mwaka mpya the Bold..
Sawa Mkuu! Tayari nimekuongeza kwenye taglist..Mkuu mbona Mimi unitag?naomba na mim niwe kwenye tag list yako
Wewe dada nimekupenda walahi!!Poa usijali

K mkuu tunasubiri, Ila Baba Bite kahamia wapi na kwanini imekuwa ghafla hivo? Familia ya cheupe itaambiwa nini juu ya kupotea kwa mwenyekiti wa bodi? Bichwa atapelekwa wapi?WAKUU LEO MAPEMA TU, KABLA YA SAA SABA MCHANA EPISODE 5 INAKUWA HEWANI..
Stay tuned..
Asante mkuu ,unatumia kinywaji gani mkuu (tigo/voda)WAKUU LEO MAPEMA TU, KABLA YA SAA SABA MCHANA EPISODE 5 INAKUWA HEWANI..
Stay tuned..
The bold Andika novel za kiswahili kipaji unacho. Nitanunua!
Anatumia tigoAsante mkuu ,unatumia kinywaji gani mkuu (tigo/voda)

Uwe uwe umelaliwa kifuani kama vile Hasnat alivyomlalia Ray pale Dark CityHii kitu ukitaka kuielewa vizuri uwe umelala ndiyo ukisoma utamu wa story utaupata.