Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Jumatano ndo imefika jana nilifanya tu kama tanesco wamesepa na umeme. The bold [emoji144] [emoji144] [emoji120] [emoji120]
 
[emoji106]
Cicero ametoa wazo zur kwa The bold shida ni kwamba watanzania si wasomaji wa vitabu kabisa.
Pili wachapishaji (publishers) miyeyusho sana,vilevile Maendeleo ya teknolojia yamechangia watu tusipende kusoma HARD COPIES,hii stori japo nzur ukweli kabisa ingekua kwenye gazeti au KITABU au JARIDA nisingeisoma ,ila hapa as soft copy nipo comfortable kuisoma.Sasa tambua watanzania wa JF ndio hao hao wa mtaani,JE TUNASOMA VITABU?
 
Mkuu ile scene ilikubamba sana,hii ni mara ya 3/4 naona unaiongelea [emoji12]
Yaani KWENYE SANAA YA UANDISHI LAZIMA UMBABE MSOMAJI, sasa hapo ndo The bold alinibamba,nami ni mpenzi wa kuandika andika,ila napofika sehen ya kuelezea wajihi/taswira ya mwanamke au the way walivyokaa na mwanaune hapo mbona utajikuta kama unaangalia episode za EMPIRE pale kwa Lucious na Mzaz mwenzie[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mie nilitamani nngekuwa mm ndo nimepakatiwa daaa hako kasehem hata mm kalinibamba na kunitia majaribun [emoji8]
 
Pia mwandishi amefaulu kuonyesha jinsi wahusika wanavyoelekeza mawazo hadi kufikia maamuzi mbalimbali.....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom