johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Yuko vizuri sana huyu mzee he died but still alive, sina wasi wasi nikimlinganisha na kinaHuyo huyo!
Ian Fleming
Yuko vizuri sana huyu mzee he died but still alive, sina wasi wasi nikimlinganisha na kinaHuyo huyo!
[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji354] [emoji354] mida ishakaribiaBadae badae jioni! Saa 11 or 12
Basi poyee pumzika utulize kichwa hicho bibie,Hahahahaha sitaki kucheka bwana im too tired ujue
Bado nagufulika wanguBasi poyee pumzika utulize kichwa hicho bibie,
hey!! on way or ushafika home? au night shift?
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] ngoja mwenye jina ajee ...mi simo
Agghhhhh!! [emoji37] [emoji37] [emoji37] nimepandwa na hasira ghafla liboss gani linakuacha hadi mda huu kazini mtu kama ww na mvua inaanza kunyesha, ,,....Bado nagufulika wangu
Hahahaha umesahau kauli ya Sizonje hapa kazi tu na tutakula kwa majasho yetu tulia nitafute pesa bwanaAgghhhhh!! [emoji37] [emoji37] [emoji37] nimepandwa na hasira ghafla liboss gani linakuacha hadi mda huu kazini mtu kama ww na mvua inaanza kunyesha, ,,....
bora hata ungenidanganya ujue,[emoji24] [emoji24] [emoji24]
[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] vp nimpgie simu nikuombee ruhusu?Hahahaha umesahau kauli ya Sizonje hapa kazi tu na tutakula kwa majasho yetu tulia nitafute pesa bwana
Huo sio upendo ss unataka nikose kibarua ww tulia namalizia natoka[emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji24] [emoji124] [emoji124] vp nimpgie simu nikuombee ruhusu?
Kuwa unanitagg Mkuu kwa episode ya 4 na kuendeleaOoohh pole!
Episode 2 ipo post # 282 (page ya 29)
Episode 3 ipo post # 655 (page ya 66)
And kuna link pale mwishoni post # 1 inayokupeleka kwenye page hizo kama ukitaka kufika fasta kwa kubofya tu!
[emoji1] [emoji1] ....unatulingishia ...!!!..Hebu rudi tulale huko [emoji35] [emoji35]
Aiseee siku nyingine usituchoshe maana unaquote halafu hakuna cha maanaJaman namimi naomba niunganishwe ili nipate mwendelezo maana leo ndo jumapili
Haya poa japo Kishingo upande,Huo sio upendo ss unataka nikose kibarua ww tulia namalizia natoka
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Haya poa japo Kishingo upande,
[emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] nahofia mvua si unajua dar mvua ikinyesha tu wahindi wanafungulia mafuriko yao na wao yakikutana na ya mungu vijana wanapata ajira ya kubeba watu migongoni