Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Jf hawako fair kbs kwani ukiweka Link ndo tutaihama Jf ?
Hivi hawauoni Mchango wako jf kuna wakati tunalazimika kuweka Bundle sababu ni siku ambayo Unashusha Episode mpya
Laiti kama mchango wako jf wangeuona basi isingekuwa tabu kwao kukumegea percentage lkn ttz hatujui kula na watu tumejaa ubinafs na Roho Mbaya kwa nn matangazo mengine kama ya kuuza nyumba magari nk hayazuiwi ila link ya web ndo iwe shida
Tujifunze ktk Ushindani na si Udikteta

Mkuu The bold ombi nitumie link kwa pm
Ombi plz
Hata mie nimeshangaa, mbona watu huleta habari na wanaweka sources toka vyanzo mbalimbali?
 
Ndugu hata mi sina. Sasa web tunai search digital mm sijui vile

Hii Picha ya Begi lenye file nimeipenda
cd1e7c952344bf2824914622a6d512d2.jpg
 
Unamaanisha nini mkuu?

The Other Half inaendelea ktk group mkuu.
I mean kajishindia hehehe ..kwahiyo kule kwenye website haiendelei tena??? Duh! sasa nyie jamaa kweli mna hasira na hela zangu
Yani mnataka mnisachi hata mimi ambae sakata la ukosefu wa ajira liminipitia !!! Mungu anawaona kwakweli ila naomba nikumbushe ada zikoje
 
Hahahaaaaa utajisachi mwenyewe mkuu kwa utamu wa story.

Ada ni 5000 tu kwa mwezi,karibu.
 
Hahahaaaaa utajisachi mwenyewe mkuu kwa utamu wa story.

Ada ni 5000 tu kwa mwezi,karibu.
Dah haya mkuu naona we na mmeo mmeamua kunifanyia usafi mifukoni mwangu kwa vistory vyenu vya uongo na kweli hahaha ila poa tu ntatafuta jinsi ya kuirudisha na mungu nisaidie kwenye hili tafadhali 'amen'
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom