Hi Niffah, mpe pole mkuu kwa kula ban.. Ila pia mfikishie salam zetu kwamba tumefurahi sana na tunampongeza kwa kupiga hatua ya kuwa na website yake ila kiukweli bado kuna challenges nyingi za kuzifanyia kazi maana sometimes kuzipata sehem muendelezo ni mpka urudie kucheki Mara kadhaa, poa kuna wakat unaitafuta episode flan huipati na kama Leo kila nikijaribu kuingia kwenye link inagoma na niko na GB kadhaa na net kwang iko poa sana.. Nahis kuna changamoto ambazo inabidi zifanyiwe kazi.. Asante shemeji lake..