Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Eeeeeh bwana eeeh? What a story?
Ni kama nilikuwa naangalia movie vile.
Mtiririko wa story ulio na maelezo ya kina kwa kila hatua umenivutia sana.
Siwezi kusubiri jumamosi...damn sipendi pressure za story kama hizi basi tu sina jinsi safari hii nimepatikana.

Story nzuri,kama kawaida hukosei honey

Hili mbona andiko safi la kupigia pesa kwa kuwauzia wataalamu wa kutengeneza Movie!
cc The bold
 
***** jamaa katuchomesha maindi leo, nahisi hajui kama dar mvua hakuna hivo mahindi hayata uzika, nifanyeje,,,,,, sasa,,,,,,, khaaaaaaaa!!!!
Ila leo haijaishi yamebaki masaa mengi tu,
 
Ntarudi, naweka kwa ajili ya kumbukumbu

The böld Mbona siku inaisha mkuu huonekani jukwaani pakua bana hiyo makitu nafsi ziburudike jooo...

Mkuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu

ukiiweka uni tag tafadhali The bold

Mara ya mwisho kunitafuta ilikuwa lini?? Mungu anakuona ujue

***** jamaa katuchomesha maindi leo, nahisi hajui kama dar mvua hakuna hivo mahindi hayata uzika, nifanyeje,,,,,, sasa,,,,,,, khaaaaaaaa!!!!
Ila leo haijaishi yamebaki masaa mengi tu,

DAH! sina kitu cha kusoma, uspende kuweka vitu nusu nusu bana!
Mniswamehe wakuu! Kuna mambo yaliniweka bize kidogo nilikuwa offline.

Nimerudi sasa, ndani ya dakika 45, episode 2 inakuwa hewani..
 
Wengine tuna pressure za juu sana wacha niende siasani nitarudi saa 2:00
 
  • Thanks
Reactions: Lee

Similar Discussions

Back
Top Bottom