Mwambie kwetu tumelogewa pesa... kama mahari itamshinda ntakuoa mimi mwenyewe. Liwalo na liwe..
Mimi si mtu wa kispotispoti eti...
babu kwa mkwara huu lazima afunge mkanda atoe kiasi chochote mtakachomtajia
Unafanya masihara?? Wakati ukiwa mdogo, siku moja mama yako aliniachia nikubebe... lile kojo ulilonimwagia kwenye mahari thamani yake ni ng'ombe saba na nusu. Yaani katika hao saba mmoja lazima awe na mimba ya miezi sita na robo...![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
babu kwa mkwara huu lazima afunge mkanda atoe kiasi chochote mtakachomtajia
Hahahahahaaaaa dah nimecheka sana.
Ukizidi kuchelewa utanifanya nizidi kukumbuka machungu na matendo mabaya aliyonifanyia enzi za utoto wake...Daahh ntafanyaje sasa![]()
Maana nimesikia mkinihurumia sana ng'ombe sabini.. Ndio najichanga changa! Washafika 40 mpaka sasa
Nakuja babu utuhalalishe..
Ole wako usinitag figusi nitakazokufanyia ukweni hadi utozwe milioni 20 na jinsi Nifah alivyo kisu shauri zako.Hiyo ni warning nimekupa......Kabla ya Jumamosi, alhamisi nitaweka episode moja..

Yani hiki kizee shida tupu mfyuuuuu zako.....Mwambie kwetu tumelogewa pesa... kama mahari itamshinda ntakuoa mimi mwenyewe. Liwalo na liwe..
Mimi si mtu wa kispotispoti eti...

Nashukuru Mkuu kwa kunitia moyo........Umeniona nini? nipo hapa kwa mama Ntilie ninamsomesha japo anipe ''Staff'' (Ukoko) kwani leo mambo yamekua Bila Bila nangoja auzeuze kwanza najichekesha chekesha na kujikomba kwake sana na Kumsifia ya kuwa anajua kupika ndio maana siendagi kwa mama Ntilie mwingine........aaaahaaaa kumbe ni somo tu Njaa mbaya sana na najiuliza siku akiniambia nitoke naye sijui itakuwaje na Njaa zangu hizi? kwa maana ni mwingi wa Habari........Usijali Mkuu! Mwenyezi Mungu ataleta wepesi..
Maandiko yanasema; "akiisha kunijaribu, nitatoka kama dhahabu"
Hata Steve Jobs aliwahi kugongea msosi for two years.. Lakini mwishoni akaja kuwa moja ya binadamu muhimu zaidi kuwahi kuishi..
So don't worry the storm will pass..
Unafanya masihara?? Wakati ukiwa mdogo, siku moja mama yako aliniachia nikubebe... lile kojo ulilonimwagia kwenye mahari thamani yake ni ng'ombe saba na nusu. Yaani katika hao saba mmoja lazima awe na mimba ya miezi sita na robo...
Kwenye mahari ya wajukuu huwa sina cha mswalie Mtume. Vinginevyo ntamuachia Mungu.
jamani!
Unafanya masihara?? Wakati ukiwa mdogo, siku moja mama yako aliniachia nikubebe... lile kojo ulilonimwagia kwenye mahari thamani yake ni ng'ombe saba na nusu. Yaani katika hao saba mmoja lazima awe na mimba ya miezi sita na robo...
Kwenye mahari ya wajukuu huwa sina cha mswalie Mtume. Vinginevyo ntamuachia Mungu.
Ukizidi kuchelewa utanifanya nizidi kukumbuka machungu na matendo mabaya aliyonifanyia enzi za utoto wake...
Nikikumbuka siku nlipokuwa namvalisha nepi afu akanizawadia zawadi ya kauharo kembamba... wallah nakuapia ng'ombe wataongezeka.... maana nilinawa mikono kwa kutumia mche mzima wa sabuni mbuni.
Kesho alhamisi..Itaendelea lini hii mkuu?
Itakuwa vyemaKesho alhamisi..
Ngoja niandae mawani yangu ya kusomeaKesho alhamisi..
K mkuu tunasubiri hapa kazi nzuri sanaKesho alhamisi..
Mwambie kwetu tumelogewa pesa... kama mahari itamshinda ntakuoa mimi mwenyewe. Liwalo na liwe..
Mimi si mtu wa kispotispoti eti...
tunaisubiria mkuuStay tuned! Jumatano au Alhamisi new episode inadondoka..