Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Shukran sana@The bold
Unatufanya tuyafurahie maisha kwa simulizi nzuri
ubarikiwe mkuu naomxa na mimi uwe unanitag mkuu@The bold
 
Jmosi usiniache na mm bro
 
Nilichopenda kwenye story yako.. Ni kwamba sio complicated Sana.. No inaakisi mazingira yetu.. Ila mbeleni usije anza ingiza vitu vya Kwenye movie maana nitakushtukia..
Maana miaka ya 2004 nilikuwa mpenzi wa hadithi za shigongo ila baada ya mwaka nikamchoka baada ya kuona movie za wamarekani ndani yake..
Ila by the way una kipaji kikubwa sana cha kuelezea na kuandika mtiririko wa matukio na hadithi..
Unaweza tengeneza fedha nyingi sana.. Fanyia kazi mawazo ya wadau
 
Huu Uzi niemuelewa kwa Kaisi kikubwa. Binafsi unanipa uwanda Mpna wa Kuwaza na kuangalia Kila Jambo kwa Jicho la ziada. Thanks the gold
 
Hayawi hayawi ... ... Sasa yamekuwa!!!
been long walk to this day,thanks God we made it,
Mkuu @ the bold uwanja ni wako sasa arosto huwa mbaya zaidi ukiona kete mezani alafu unasimangwa kwanza ndo upewe,,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom