Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

nilikuwa faragha na shemeji yako Clkey, tunahitaji utulivu.
Huyo umemtoa Zhongh Yutong eeh?

Ama kweli china ni manufacturer wa kila kitu...

Clkey niko nae tunakunywa wine toka saa 1610hrs tunasubiri episode mkuu...

Mtoto jicho limemtoka hata simu hawezi kushika tena...! Can't you see her silence...
 
Mai darling waambie hao nipo nmetulia tuli mapajani kwako
 
Hiki kizungu cha leo humu kina matege!
Hello Capt Tamar... Ndo Maana hua napakubali saaana JF hapa ni kuliko darasani.. Haya kwa faida yangu Mwenyewe na kwa ya watu wengine... correct me nlipo kosea bro.. kwa moyo safi kabisa.. thanks bro..
 
Kakaang The Bold hii mambo vp jaman nshatoa macho hapa ka mjusi alobanwa na mlango lkn ktu hakiji tu
Take more wine!! The bold yuko anaiweka vizuri...

Ikija tuu nakuadithia manake hapa ulipo huwezi kusoma tena..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom