Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Habari za hivi punde!

Ndugu wana Jf, ule mtanange wa wagombea wanne unaendelea huku ndugu fakalava akiongoza kwa mbali sana akifuatiwa na Transcend.

Mkoroshokigoli Kajitoa, wafuasi wa Johnson wamekimbia na masanduku ya kura kusikojulikana.
 
Mkuu una traits za Yahya Jammeh! Unataka kujitangazia umiliki wa ile asset...?

Tuliza munkari! THE BOLD atakuja kutangaza !
 
Mlishaingia mitini wote ! Sema umeona kapotea kabisaa...unataka kuja kupiga sarakasi kwenye Transformer la 1200 Mega Volt Amp..

You will get killed [emoji23][emoji23][emoji23]
nilikuwa faragha na shemeji yako Clkey, tunahitaji utulivu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom