Clkey
JF-Expert Member
- May 29, 2014
- 5,720
- 15,352
Sawa sirudiiiiiiiiiiiiiUsirudie tena!!
Sawa sirudiiiiiiiiiiiiiUsirudie tena!!
daah bado mkuu ndo tuko tunasubiriaMzgo umeshadondoshwa?
Wala sijakosea dada now its 10:32 huoni kibantu hapo from 10:00 to -33, huyo approver next time mpeleke kazi 1hrs before,![]()
![]()
![]()
![]()
Johnson bwana?
Lubava tangaza matokeo, au nijitangaze?Ndo maana nakupenda kuliko wote
Tuko pamoja kaka ukiidondosha tu..... kama gombania goliEpisode iko tayari wakuu..
Nasubiria "The Board" wamalize kuipa approval then napost..
Tusubiri kidogo tu! Lazima idondoke leo
Wazee wa mashambulizi, chama langu hilo.Huyo shabiki wa Arsenal mkuu
Call her shemeji from today...
Teh teh teh.... Kijana unacheza rege wakati Dj kafungulia blues?
Wewe unakufa na kufufuka! Naona umetoka kuongezea siku za kuishi
Teh teh! Hali mbayaaaa ( kwa sauti ya Jecha)Lubava tangaza matokeo, au nijitangaze?