Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

Vipepeo Weusi: Mkakati Namba 0034 (Simulizi)

[emoji173][emoji173][emoji173][emoji173][emoji173] !

Naona umeamua hata usisubiri matokea ya Lubuva...[emoji23][emoji23][emoji23]

Johnsonmgaya umelala na fegi mkuu..kibanda kinaungua [emoji23][emoji23][emoji23]
anakupa moyo unyamaze haishi kibandani huyo, karibu AVIC TOWN anapoishi Mr johnson & Clkey
 
wala haunitishi ukikubali kuolewa kila kitu utasilimu na kunifata huoni Nifah tulikuwa nae kkoo now hana jinsi kuwashabikia madale .... njoo team yenye hela umuone PP
Weeeeeee The bold atawin vyote i.e my heart et all ila sio kunitoa k/koo wala jangwani au Arsenal.
Mimi bado ni shabiki mtiifu na milele nitabaki kuwa shabiki wa King Ali Kiba.
Period
 
Weeeeeee The bold atawin vyote i.e my heart et all ila sio kunitoa k/koo wala jangwani au Arsenal.
Mimi bado ni shabiki mtiifu na milele nitabaki kuwa shabiki wa King Ali Kiba.
Period
Santee wifi wanakuchukulia poa hawa
Mashabiki wa Arsenal tuna moyo hawajui tu
Ila huko Jangwani wiii baki pekee yako
 
Nlkumiss wifi wa mm naona leo umeonekana mapema
Niko hapa leo mapemaaaaaa nasubiria episode.
Nyie The bold sio wa kunifanyia hivi jamaniiiiiii!
Yani na mimi nasubiria episode kama sio nimpaye usingizi.
Siku yake yaja [emoji35]
 
Niko hapa leo mapemaaaaaa nasubiria episode.
Nyie The bold sio wa kunifanyia hivi jamaniiiiiii!
Yani na mimi nasubiria episode kama sio nimpaye usingizi.
Siku yake yaja [emoji35]
Mke wa sisi usilalamike bwana,ww tulia tulii mm ntamsema wala usijali
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom