Mwanangu wa less than two (anatimiza miaka miwili mwezi ujao) anapiga mpira kama hana akili nzuri. Anamzidi kaka yake wa miaka minne. Najua ana kipaji cha kuzaliwa kwa kuwa shemeji yangu alishachezea mpaka timu ya taifa hivyo inawezekana mwanangu amerithi.
Lakini ntapenda azingatie elimu huku mpira akiendelea nao katika spare time. Najua anaweza kuwa millionea kwa mpira kuliko kwa kusoma lakini what if hata make it to the top???
Shemeji yangu japo alikuwa na kipaji bado alikuwa na degree yake na alivyoona mpira wa bongo ni uzushi akashit na ana kazi yake sasa. Kwa hiyo nachukulia elimu kama security na sitakubali mwanangu asisome eti kwa kuwa ana kipaji.
ukimlea Ulaya halafu Manchester wakija while yuko 10 years na mabulungutu
sijui utasemaje lol
The boss badilisha hako kapicha yani we kununa tuuu:glasses-nerdy:hata huko kwenye nchi zenye shule maalum
watoto wanaharibika
je zingekuwepo shule hizo hapa TZ..wewe ungewaruhusu wako?
Yote umesema mkuu.......................Inahitaji utambuzi wa hali ya juu kumudu kumlea mtoto ambaye tayari anacho kipaji na labda kimeshaanza kuchukuwa nafasi katika sehemu ya maisha yake.The Boss bado sana hatujajua namna ya kuhandle issue za watoto ambao wana hivyo vipaji wakiwa wadogo
Bado hatujaweza kuviendeleza na hakuna shule maalum za kufanya hayo mambo na kuwaweka katika misingi ya kuwa pamoja na kipaji chako elimu nyingine iendelee
At least kungekuw ana namna ya kuwafanya watoto waendeleze vipaji vyao na huku wakiwa wanaendelea na elimu ya kawaida hapo sawa
huku unaweza kumwachia aendelee na kipaji chake ukajikuta hata muda wa kupata elimu ya kawaida hakuna na anaishia kupata umaarufu ambao utamcost baadae bila kujua kuwa kipaji chake kinatakiw akuendana na elimu
ukimlea Ulaya halafu Manchester wakija while yuko 10 years na mabulungutu
sijui utasemaje lol
Tunasoma ili iweje?? Beckham ana degree? Yani Manchester wakimtaka hata kama ana 6 years nawapa. Lakini ataendelea kuwa mtoto na nitajitahidi kumlea katika maadili kadili niwezavyo hata kama keshakuwa super star.
Mtoto wangu hata awe na kipaji vipi, lazima aende kusoma.
Akisha soma nikajua ana elimu ya kutosha, hapo sasa yeye ndo ataamua kufanya nini, huo ni uchaguzi wake.