Vipaji,Umaarufu na watoto wetu.....

lazima aende shule,kipaji kama anacho najua hakiwezi kufa,bora asome kama mwana fa ili cku mambo yakimuendea kombo kwenye tasnia yake,bado ataweza kuyaendesha maisha yake.ukimtazama lulu,mr blue umaarufu umewaponza shule hawakumaliza matatizomatatizo kila kukicha daaah kwangu ni no no no kwa kweli
 
Mwanangu wa less than two (anatimiza miaka miwili mwezi ujao) anapiga mpira kama hana akili nzuri. Anamzidi kaka yake wa miaka minne. Najua ana kipaji cha kuzaliwa kwa kuwa shemeji yangu alishachezea mpaka timu ya taifa hivyo inawezekana mwanangu amerithi.

Lakini ntapenda azingatie elimu huku mpira akiendelea nao katika spare time. Najua anaweza kuwa millionea kwa mpira kuliko kwa kusoma lakini what if hata make it to the top???

Shemeji yangu japo alikuwa na kipaji bado alikuwa na degree yake na alivyoona mpira wa bongo ni uzushi akashit na ana kazi yake sasa. Kwa hiyo nachukulia elimu kama security na sitakubali mwanangu asisome eti kwa kuwa ana kipaji.
 
ukimlea Ulaya halafu Manchester wakija while yuko 10 years na mabulungutu
sijui utasemaje lol
 
Unajua kupanga ni kuchagua.

Unaweza chagua pesa, kwa hiyo ukamwacha mtoto akacheze mpira akiwa na umri mdogo.

Itakuwa kama unacheza kamari, maana uwezekano wa kutoa mtu mwenye akili timamu kwa jamii ya watu average nayo inazidi kupungua.

Hapa ingekuwa nzuri zaidi kama tungeweza jua roughly wasanii wangapi hata waliopata umaarufu katika umri mdogo wameweza kuwa watu na akili zao timamu.

Then unaweza kadiria risk unayom-expose mtoto wako.

ukimlea Ulaya halafu Manchester wakija while yuko 10 years na mabulungutu
sijui utasemaje lol
 
m mwanangu akitaka kutoa singo nampa hela akatoe singo,yakimshinda na akakiri vimemshinda nalisweka shule ya watoto watukutu mbeyaa
 
Hivi kwani Lulu alikuwa haendi shule?
Tatizo la malezi ni kubwa zaidi ya ucelebrity! Ni vitoto vingapi vinaharibu pengine kuliko Lulu mitaani?

Hatuvijui kwasababu si vicerebrity, lkn kwa wanaoguswa nao (ndugu, jamaa) wanalia! Wazazi wengi hatujielewi sijui, au matatizo ya nchi yamezidi kiasi kwamba ikifika kwenye kuangalia maadili tunakuwa tumeshachoka mwili akili na roho? Au na sisi wenyewe sijui kama tunayo hayo maadili!

Kifupi ni ngumu sana; na ndio maana hata wachangiaji ni wachache. Mwenyewe nimekuwa nikiupitia huu uzi bila kucomment coz sikutaka kuufikirisha ubongo; na kwenda kwenye mada nyepesi nyepesi na less stressful!
 
Yaah mimi naungana na Lizzy, kuza kipaji cha mtoto / watoto ILA wazazi kazima wahakikishe kuwa mtoto huyo anapata elimu huku akiendelea kukua na kukomaa
 
The Boss bado sana hatujajua namna ya kuhandle issue za watoto ambao wana hivyo vipaji wakiwa wadogo
Bado hatujaweza kuviendeleza na hakuna shule maalum za kufanya hayo mambo na kuwaweka katika misingi ya kuwa pamoja na kipaji chako elimu nyingine iendelee
At least kungekuw ana namna ya kuwafanya watoto waendeleze vipaji vyao na huku wakiwa wanaendelea na elimu ya kawaida hapo sawa
huku unaweza kumwachia aendelee na kipaji chake ukajikuta hata muda wa kupata elimu ya kawaida hakuna na anaishia kupata umaarufu ambao utamcost baadae bila kujua kuwa kipaji chake kinatakiw akuendana na elimu
Yote umesema mkuu.......................Inahitaji utambuzi wa hali ya juu kumudu kumlea mtoto ambaye tayari anacho kipaji na labda kimeshaanza kuchukuwa nafasi katika sehemu ya maisha yake.
 
Tunasoma ili iweje?? Beckham ana degree? Yani Manchester wakimtaka hata kama ana 6 years nawapa. Lakini ataendelea kuwa mtoto na nitajitahidi kumlea katika maadili kadili niwezavyo hata kama keshakuwa super star.

ukimlea Ulaya halafu Manchester wakija while yuko 10 years na mabulungutu
sijui utasemaje lol
 
Tunasoma ili iweje?? Beckham ana degree? Yani Manchester wakimtaka hata kama ana 6 years nawapa. Lakini ataendelea kuwa mtoto na nitajitahidi kumlea katika maadili kadili niwezavyo hata kama keshakuwa super star.

ha ha haa hata akiwa na miaka sita unawapa?
ha ha haaa
 
Mi nachojua kwamba ni kazi kumlea mtoto kimarekani huku amezungukwa na wabongo asome kwanza ili atumie elimu kuUTILIZE informations za kipaji chake.NITAMPROMISE KUMSAIDIA ILA CHA KWANZA ASOME.Tunaona hawa wakina dogo Hamidu wamekuwa wauza cocaine,dogo janja analishwa maganja,dogo Aslay anakula mabangi yaani aaarg
 
Mtoto wangu hata awe na kipaji vipi, lazima aende kusoma.

Akisha soma nikajua ana elimu ya kutosha, hapo sasa yeye ndo ataamua kufanya nini, huo ni uchaguzi wake.

Kuweza kumuweka sawa mtoto mpaka akuelewe kuhusu umuhimu wa kuchagua elimu na umaarufu baadae ni ngumu sana. Ndo maana watu walioanza kutangaza au kucheza sinema wakiwa wadogo inataka moyo kuwasaidia kuchagua mambo yaliyo mema bila kuharibikiwa.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom