Misterdennis
JF-Expert Member
- Jun 4, 2007
- 1,741
- 480
Mkuu, tuangalie wapi???
Kuna haja ya watanzania kukubaliana namna ya kuwapata viongozi wenye uelewa lakini pia wenye kufahamu lugha gani watumie kwa njia ya mawasiliano hembu angalieni viongozi wenu wa CCm wanavyowasiliana kwa lugha ya kingereza
Jamaa katisha. Nimefurahi aliposema, "all people they supposed to be accoutable"
mkuu, tumsamehe tu maana gongo na jua kali matokeo yake ndi hayo, Tiltle, Content and logical ni ***** tuMkuu, tuangalie wapi???
TO RENTTER OF APARTMENTS wins my accolade
Turudi nyuma kidogo, hivi tukiambiwa baadhi yetu humu JF tuirekebishe hiyo barua, ni wangapi watathubutu? Mushi amethubutu, ameweza na anasonga mbele. Ujumbe umefika kwa walengwa.
ndio aina ya viongozi ambao wengine pia hutuwakilisha nje.Hawa ndio hutupiga longolongo kwa kiswahili, halafu wakiwa nje hawalewekei wala kuelewa wenzao,mwishowe akipigiwa .Okay..?wanasema okay.wanpewa mikono na ahsante kwa kumalizia deal haraka.Then wakirudi wanajisifu kuwa mamabo yalikwenda vizuri na walisifiwa sana kwa kufanya mambo haraka.Kabla hawajamalizia kushangilia bongo ndipo hawa wabongo wasio na vyeo ila wapo smart wanaanza lia kuwa kimenuka.
IF YOUR REFUSE TO BE COUNTABLE...
OR STOP CENSER OFFICER TO DO THE JOB OF COUNTING PEOPLE FROM 26.08.2012....
AND 7 DAYS MORE ITS IS CRIMINAL CASE.....
THEN YOU WILL BE CHARGED IN COURT AND FINE SENTENCED IN PRISON FOR 6 MONTH.
Vipi hapo kwenye Beural!Kitu kizuri katika hiyo barua.. kwenye content, maneno yote hapo ndani ni ya Kiingereza. Amefanya 'spell check' ya kufa mtu!!
Nimeangalia upande chanya zaidi.
Mwenyekiti wa Oyster bay anapaswa kuwa smart kuliko sisi wa Kinyerezi.Amejitahidi, mwenyekiti serikali za mitaa
Mitazamo kama hii ya akina Kashaijabutege ya kutetea na kuahalalisha UZEMBE ndio imekwamisha Bongoland!! Ujumbe gani umefika kwa walengwa? Kwanza ninafikiri hii barua ni feki - sidhani kama kuna mtu ameandika bali ni mchezo wa kunogesha jukwaa!